Jinsi tunavyoishi wakristo hapa Zanzibar kipindi hiki cha mfungo

Tanzania ni moja ukiwa zanzibar it means upo tanzania so upo kwenu

Sent from my SM-J250F using JamiiForums mobile app
 
Waislamu bwana, yaani wanataka kile wanachokiamini kila mmoja akiamini pia. Tena kwa nguvu!
Hii ni tabia ya mfia Dini yeyote yule..hata wakristo pia nao utasikia wanasema Yesu ndio jibu la kila kitu hakuna Kingine!! 😁😁😁
 


Oooh, unajidanganya umeandika mafundoisho ya Mungu kumbe ni porojo zako? Mimi nimekuewekea maneno ya kitabu unachoamini kuwa ni cha Mungu, wewe umeweka kitabu kipi?
 
Uislamu
 
Kama ni rahisi nawe badili hyo ratiba ya kula chakula.
 
Unachikiongea haukielewi.

Ukristo ulikufundisha wapi kula barabarani. Mbona unayofundishwa na Mungu wako kwenye biblia huyafati?

Ona China hiyo....

<iframe width="560" height="315" src="YouTube" title="YouTube video player" frameborder="0" allow="accelerometer; autoplay; clipboard-write; encrypted-media; gyroscope; picture-in-picture" allowfullscreen></iframe>
 
Oooh, unajidanganya umeandika mafundoisho ya Mungu kumbe ni porojo zako? Mimi nimekuewekea maneno ya kitabu unachoamini kuwa ni cha Mungu, wewe umeweka kitabu kipi?
Bibi mbona mwoga wa maswali hivi?
Si ujibu tu nilichokuuliza?

Umeona mtego mkali sana kwenye swali umeamua kurudisha mpira kwa kipa!!
 
Tuje kwenye mada husika hoja za mleta uzi je ni kweli?...na kama ni kweli kwanini mfanye hivyo.?

Sent using Jamii Forums mobile app
Labda niseme kuwa, sio mafundisho ya kiislam kuwachukia au kuwakwaza watu wa dini nyingine hivyo kuna cha kuangalia hapa;
Hata hivyo kuna mila na desturi za mahala mf. Ukienda Vatican utegemee kukuta karibia kila kitu kinaendeshwa kwa mila na misingi ya kikatoliki pamoja na kuwa watu wa dini zote wanaruhusiwa kuishi pale
 
Kwa hiyo Dini Inayofundisha Jihad(kuua) pale ambapo mtu unaona watu wanapinga mafundisho ya dini Husika ni Dini ya Mungu,
lakini Dini inayofundisha Kumpenda Kila mtu na kutokulipiza kisasi kabisa hiyo ni ya Shetani.

Yaani Dini ya Mungu inatufundisha Jino kwa Jino halafu dini ya Shetani inatufundisha Kumpenda kila mtu bila ya kulipiza visasi!

Hebu tumia basi hata akili ya kawaida tu ku-reason!
 
Hata mjinga huona fahamu katika ujinga wake.

#MaendeleoHayanaChama

Sent using Jamii Forums mobile app
Naamini kwa uweza wa huyu Mungu tunaye muamini, itafika siku ukweli utakuwa wazi na kuweza kujua mjinga ni aliyesoma vitabu vyote akaelewa na kutambua mbivu na mbichi au ni aliyesoma kitabu KIMOJA pengine chini ya 50% alafu kwa ujinga wake akajiaminisha kuwa amejua kila kitu
 
tusihamishane hoja hapa. hoja kubwa ni uhalali wa kuzuia mtu mwingine kula kisa wewe umefunga! hapo tu. kwan akila hadharan na unaathirika kwan una uroho kama mandawa!
 
Kuna kipindi cha redio,kinaitwa mawio cha asubuh mapema, kila siku ni kesi za kuwalawiti watoto kwa kweli inasikitisha, na watendaji wa kuu wa hivi vitendo ni mashekh na walim wa madrasa.
 
Bibi mbona mwoga wa maswali hivi?
Si ujibu tu nilichokuuliza?

Umeona mtego mkali sana kwenye swali umeamua kurudisha mpira kwa kipa!!
Unanisoma kwa uoga, soma tena....

Oooh, unajidanganya umeandika mafundoisho ya Mungu kumbe ni porojo zako? Mimi nimekuewekea maneno ya kitabu unachoamini kuwa ni cha Mungu, wewe umeweka kitabu kipi?


Unajidanganya kuna mtego? Upi huo? Hivi wewe unaesoma kitabu kilichoandikwa na binaadam wenzio na hukielewi unaweza kumtega mtu naesoma kitabu Cha Mwenyeezi Mungu?

Jibu hizo porojo umezitoa kitabu kipi? Najua mzigo mzito kwako huo na hauna jibu.

Pole yako.
 
Hujawahi kukutana na Yesu, au kwa tafsiri nyingine Yesu hajawahi kujifunua kwako.
Siku mwana wa adamu akijifunua kwako hutaandika haya uliyoyaandika
Yesu yupo huku kwa Waislam na unaweza kuomba au kuponya kupitia jina lake na ndio raha ya kuwa Muislam.
Ukiwa huo upande mwingine unapata 1/2 package wakati huku ni full package
UKITAKA KUUJUA UISLAM SOMA, NASEMA TENA SOMA; ACHA KUSIKILIZA POROJO ZA KIJIWENI UKAFIKIRI NDIO UISLAM
 
Wewe ndio huwa wanakusifia humu kuwa unaijua dini yako?

Mbona mwepesi hivi?

Swali rahisi kama hilo hujibu unakaa kupiga danadana ya maneno?
Hilo swali langu ni konki, huwezi tia pua yako hapo kulijibu.
Ungekuwa na jibu ungeshajibu muda mrefu sana.
 
Huyo Yesu wa kwa waislam ni yupi huyo?

Ni yule aliyezaliwa chini ya mtende au yule aliyezaliwa kwenye hori la ng'ombe?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…