Jinsi tunavyoishi wakristo hapa Zanzibar kipindi hiki cha mfungo

Jinga wewe
Mazingira ya maisha hapa zanzibar kipindi hiki cha mfungo wa ramadan kwa wakristo ni magumu sana hasa kuhusu suala la chakula,kwa sisi ambao tuko kikazi huku na familia zetu ziko bara ni shida, mfano kupata chakula inabidi uende kwenye lile kanisa ambapo zamani kulikua na soko la watumwa,ukiwa mwanakwerekwe napo inabidi uende pale kanisani,ukiwa maeneo ya mbweni itabidi uende kanisani ndio kuna kimgahawa hapo utapata chakula,ila kwa siku ya leo kuna kitu kimenikera sana baada ya kukosa chakula kanisani ikabidi nipelekwe sehemu ya mafichoni kunapouzwa chakula,nimefika na chakula nimepata ila mazingira ya kukaa pamoja ulaji sio mzuri kwa sababu unakula kwa hofu kwamba muda wowote mnaweza kamatwa.na kama unafamilia yako huku basi kama mkeo anataka kupika ni marufuku kupikia nje inatakiwa kila kitu amalize humo humo ndani na ukikamatwa unapelekwa jela mpaka mwezi uishe ndio unaachiwa,lakini hivi vitu vinafanyika kwa ngozi nyeusi kwa nyeusi,ngozi nyeupe aiguswi na hii zihaka mzungu wanakula na kunywa muda wowote na hotel/ mabaa yao yako wazi muda wote,ombi langu kwa waislamu ni kwamba waache tabia za unafiki wa kubagua maana kwa mtindo huu hata thwawabu sidhani kama mtapata.
 
Ukweli Ni kwamba sio kila anaefunga anafunga kutokana na moyo wake unavyomtuma. La hasha. Wengi wanafunga ili waonekane kwa jamii au wake zao au watoto wao au wazazi wao kwamba wamefunga. Ndio maana Jana wengi sana walichukia sheikh aliposema mwezi haujaonekana. Angetangaza mwezi umeonekana Dar ingelipuka kwa Raha.
Mtu atafungaje mwezi mmoja tu halafu miezi kumi na moja anakunywa pombe, ana vimada, anaiba,nk.
Wengi wanaamini dhambi Ni kula nyama ya nguruwe tu. Mabosi serikalini wanaiba hela lkn eti nao wanafunga. Wanafunga Nini Sasa?
 
Ukweli mtupu, na kipindi hiki biashara za guest, pombe, kitimoto nk zimedorora, ngoja siku ya kufungua, hali ni tofauti kabisa
 
Mfungo kwa waislamu ni kama gereza, mtu akifunga anajisahau kuwa ile ni nguzo ya imani yake.

So pamoja na kutakiwa kutimiza nguzo hiyo kingine unapofunga unatakiwa uishinde dhambi siyo kumuweka ndani anayesababisha wewe kutenda dhambi NO!.

MFANO: Kuna lodge moja pale Mbeya jirani na stendi au pale Unguja darajani mkiwa wawili Me na Ke lazima kuonyesha uthibitisho wa kuwa mke na mume ndipo mpewe chumba, hii inamfanya mtu anayekwenda pale ajue haijazuiwa ila utaratibu ni huo.

SASA BASI; Ili kuishinda dhambi unatakiwa upambane nayo au isiwepo kabisa?. Jibu la hili swali ndilo linatakiwa kufanyiwa kazi.
 
Bibi umeibuka Uislamu haukuachi lazima upite nao kama roho na mwili huwezi kujificha japo kidogo lazima ujitokeze tu bibi hata wakufiche wapi utatoka pole dini hizi tumeletewa kwa majahazi pole
 
Hata ukristo ulionao sidhani kama unakufundisha kutoa maneno machafu kiasi hiki. Sikuombei shari ila namwomba Allah mwingi wa rehema mwenye kurehemu , mwingi wa msamaha mwenye kusamehe akusamehe na kukuongoza ktk haki.
Busara ni kukaa kimya wakati mwingine kuliko kuongea maneno yenye kuvunja hadhi yako.
Usichokijua ni kua uislam upo mbali kabisa na unachokisema. Kumbuka kuna uislamu mwongozo wa wanadamu kuishi katika dunia hii aliyeumba Allah muumbaji na kuna mwanadamu anayekiuka yale aliyoamrishwa na kukatazwa na dinu yake (uislam) .
Sasa huyu mwanadamu akivuka mipaka sema flani kavuka mipaka ya Allah mwingi wa rehema na sii uislamu.
Narudia tena namwomba Allah akuongoze tena.
Uislamu na uchawi na urozi huwezi utenganisha badani..ndio mana mnaamini katika mashetani majini kama ndugu zenu...hell fire is waiting for you msipo acha huo ushetani...Yesu ndiye kimbilio la kweli na uzima.

#MaendeleoHayanaChama

Sent using Jamii Forums mobile app
 
pia muombe huyo Allah wengu awaondolee tamaa ya kufirana kama Wazanzibar ni 97% waislamu na ndo huko tigo zinaongoza kufumuliwa hamuoni ni tatizo ila tatizo ni kuwapiga na kuwadhalilisha wakristo wakila chakula mnawalazimisha wale wamejificha mafichoni ndo mnafurahi ?!

Wasenge wakubwa hivi mnafurahi nini kutesa watu eti wale chakula wamejificha ndo lidini lenu linawatuma kua na roho mbaya, washari na magaidi wasenge.
 
unakula kwa hofu kwamba muda wowote mnaweza kamatwa.na kama unafamilia yako huku basi kama mkeo anataka kupika ni marufuku kupikia nje inatakiwa kila kitu amalize humo humo ndani na ukikamatwa unapelekwa jela mpaka mwezi uishe ndio unaachiwa
Ndiyo maana tukasema hao wabaki hukohuko na kiinchi chao wanaukoloni mwingi sana, dini gani za kudhibitiana namna hiyo
 
pia muombe huyo Allah wengu awaondolee tamaa ya kufirana kama Wazanzibar ni 97% waislamu na ndo huko tigo zinaongoza kufumuliwa hamuoni ni tatizo ila tatizo ni kuwapiga na kuwadhalilisha wakristo wakila chakula mnawalazimisha wale wamejificha mafichoni ndo mnafurahi ?!

Wasenge wakubwa hivi mnafurahi nini kutesa watu eti wale chakula wamejificha ndo lidini lenu linawatuma kua na roho mbaya, washari na magaidi wasenge.
Huu ni msiba, hakika haongoi nafsi mwanadamu ila aliye iumba.
Narudia tena mimi kazi yangu kukumbusha tu kama walivyo fanya mitume wa mwenyezi Mungu radhi za Allah ziwe juu yao. Wala hawakuwa na kazi ya kuongoa nafsi za wanadamu ila kuwaambia Allah anaamrisha hivi na amekataza haya hivyo njia utayochagua ndio hyo hyo Allah ataifanya kuwa nyepesi kwako
Kubishana na wewe ni kazi kubwa sana ni Rehma za Allah pekee zinazoweza kukuongoa lkn si kiumbe mimi ambae pia si mkamilifu nnaeweza kukubadilisha wewe mtu mwenye mdomo mchafu, usie weza kutumia busara zaidi ya kutoa maneno ya matusi.

Sitochoka kukuambia Allah akuongoze na akutoe kwenye huo upotofu uliokua nao.

Mbona padre akizini kwa mfano hamsemi wakristo wamezini, ila mtamtaja muhusika kafanya dhambi flani.
Hivyo hivyo kwako wewe usiekua na busara kuna uislamu na mtu , huyu mtu akipotoka kwel akafanya amabyo yamekatazwa sema flani kafanya na si generalization ufanye eti waislam.

And i am just wondering where did u get those results eti 99% wanafanya huo uchafu.
Uislamu upo mbali kabisa na huo ufirauni
 
Uislamu na uchawi na urozi huwezi utenganisha badani..ndio mana mnaamini katika mashetani majini kama ndugu zenu...hell fire is waiting for you msipo acha huo ushetani...Yesu ndiye kimbilio la kweli na uzima.

#MaendeleoHayanaChama

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwanza nenda katafte elimu ya uislam kisha uombe radhi kwa mola wako mleze kwa kuikashifu dini yake
*unaelewa nini kinamtoa mtu katka uislamu? Ushirikina ndio jibu. Yani kumshirikisha Allah na kitu chchote ni miongoni mwa madhambi makubwa, Allah hana mshiriki ktk dini yake ufalme wake na vyote ulimwenguni. Hivyo kusema waislam ni washirikina ni kosa la kwanza. Sisi tunamwomba Allah pekee hivi unaelewa pekee yani yeye mwenyewe, tunamtaka msaada ktk kila jambo yana hata hapa ninavyoandika ni kwa uwezo wa Allah, tunamwomba yeye pekee atuongoze ktk njia iliyonyooka na si ktk njia ya waliyopotea kama wewe, .(al fatha ndio itakufahamisha vyema waislam tynamwomba nani na wala hatumshirikisha tunayemwomba na lolote)
*hayo majini unayoyasema sisi tunayategemea ni kwa wasio na elimu ya dini. Majini ni viumba navyo vinamtegemea Allah sasa sisi tumtgemee vipi alieumba na Allah afu tuache kumtegemee mmiliki wa kila kitu? Fungua macho wewe
*Yesu( Issa) radhi za mwenyezi Mungu ziwe juu yake sisis tunamuheshimu na kumpenda kuliko hata wewe unaemtaja juu juu kama unavyomtaja mshikaji wako.
Tunaamini na kuwakubali mitume wote waliotumwa na mwenyezi Mungu kwa kila umma
*Hiyo hell fire unayosema wewe, namwomba Allah anikinge mimi na waislamu wote duniani na moto wake na zaidi akuongoe wewe na vipenzi vyetu wote tuipate pepo yake na zaidi asiifanye mioyo yetu kuwa migumu tupofahamishwa haki
 
Mnaokolewa kwa nini?..ili kuweza kufika peponi?
Tumaini lenu liko wapi?

#MaendeleoHayanaChama

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tumaini ni kwa Allah pekee mwingi wa Rehema mwenye kurehemu wema na waouvu.
Anayeweza kuamini na kuielewa hiyo dini..ni mjinga na punguani...imejaa falsafa uzushi na mawazo binafsi mnayoita simulizi...ebu niambie mwanaume anapewa mabikra sijui 100 kwahiyo zawadi yenu ngono ndio zawadi ya pepo..pia wanawake wao wakifika peponi zawadi yao nini.?

#MaendeleoHayanaChama

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwanza nenda katafte elimu ya uislam kisha uombe radhi kwa mola wako mleze kwa kuikashifu dini yake
*unaelewa nini kinamtoa mtu katka uislamu? Ushirikina ndio jibu. Yani kumshirikisha Allah na kitu chchote ni miongoni mwa madhambi makubwa, Allah hana mshiriki ktk dini yake ufalme wake na vyote ulimwenguni. Hivyo kusema waislam ni washirikina ni kosa la kwanza. Sisi tunamwomba Allah pekee hivi unaelewa pekee yani yeye mwenyewe, tunamtaka msaada ktk kila jambo yana hata hapa ninavyoandika ni kwa uwezo wa Allah, tunamwomba yeye pekee atuongoze ktk njia iliyonyooka na si ktk njia ya waliyopotea kama wewe, .(al fatha ndio itakufahamisha vyema waislam tynamwomba nani na wala hatumshirikisha tunayemwomba na lolote)
*hayo majini unayoyasema sisi tunayategemea ni kwa wasio na elimu ya dini. Majini ni viumba navyo vinamtegemea Allah sasa sisi tumtgemee vipi alieumba na Allah afu tuache kumtegemee mmiliki wa kila kitu? Fungua macho wewe
*Yesu( Issa) radhi za mwenyezi Mungu ziwe juu yake sisis tunamuheshimu na kumpenda kuliko hata wewe unaemtaja juu juu kama unavyomtaja mshikaji wako.
Tunaamini na kuwakubali mitume wote waliotumwa na mwenyezi Mungu kwa kila umma
*Hiyo hell fire unayosema wewe, namwomba Allah anikinge mimi na waislamu wote duniani na moto wake na zaidi akuongoe wewe na vipenzi vyetu wote tuipate pepo yake na zaidi asiifanye mioyo yetu kuwa migumu tupofahamishwa haki
Kwanza Yesu sio Issa... Hamjaacha tu kujipendekeza kwenye ukristo?
Issa ni Issa (ameandikwa Kwenye quran) na Yesu ni Yesu (ameandikwa kwenye Biblia)
 
Back
Top Bottom