Jinsi Tundu Lissu Alivyojikaanga Kwa "Mafuta ya Taaluma Yake!!"

Hivi mnapata wapi muda wa kujibu jitu jinga kama holi?jiandaene tumsikilize Lissu saa tatu.Andaeni majenereta maana Tanescoccm wanaweza fanya yao.
 
Mkuu na wewe kwa maoni ya Tundu Lissu inawezekana umesoma na kupata vyeti visivyo halali, ndio maoni ya "Mwanasheria nguli" sio mimi!!

We can see your true color.
 
Mkuu na wewe kwa maoni ya Tundu Lissu inawezekana umesoma na kupata vyeti visivyo halali, ndio maoni ya "Mwanasheria nguli" sio mimi!!

Najua we utakuwa umeagizwa na maccm kuja kutetea mahoja yako yasio na mantiki yoyote na yasio na rejea yoyote hapa na visenti mnavyopewa huko sijui hata kama vinamaliza hata mwaka 1 na huku hamjui kuwa wewe na familia yako yote pamoja na watanzania wote na vizazi vyote vinavyokuja kwa ujumla mnahujumiwa bila ya kujijua hapa lisu kashamaliza kwa kusema waliozoea kuishi kwa uongo na udanganyifu hawawezi kuishi kwa kusema kweli nakushauri tetea hoja zako kwa rejea yoyote ile na sio kutuletea hoja empty zisizo na msingi wowote hapa..
 
Basi Lissu apongezwe kwa kusema ukweli ambao haukupata kusemwa hadharani.

Hata mimi kwenye Topic hii nimempongeza ila achukue hatua za kujitoa kwenye Bunge Haramu la Katiba!
 

Mkuu huyu "Mwanasheria Nguli" ameshamaliza kila kitu kwa kudai kuwa Muungani ni BATILI! Watu wengi mmemsifu bila kujua implication yake! Poleni sana! BTW: Mimi nimejituma mwenyewe, silipwi na mtu yeyote, ukae ukijua hilo! Wewe mwenzetu kama unalipwa kuja kupost hapa, hongera sana!
 
Buchanan,
hoja za muungano anazo toa tundu lissu (ambazo umeziorodhesha),tayari mamlaka husika za kimataifa na zile zillizoundwa na CCM,zimethibitisha kwamba ni halali?.
pls usidandie treni kwa mbele.
 
Last edited by a moderator:
We can see your true color.

Muungano ni BATILI, right? Kama Lissu kaamua kula "kitimoto" asidai kuwa mchuzi wake tu ndio HARAMU, ila nyama ndio HALALI!
 
Utarekebishaje kwa utaratibu BATILI mkuu, maana mpaka sasa Bunge Maalum la Katiba ni BATILI, labda tumuulize "Mwanasheria Nguli" Tundu Lissu atuelimishe pa kuanzia!

Mleta mada anamaanisha watoto waliozaliwa nje ya ndoa tuwaue kwa sababu wamepatikana "nje ya mazoea" au tuwatafute wazazi wao wawalee na kuwatunza?!@Buchanan
 
Yaani we acha tu!! Sijui kama alisoma Hotuba yake kabla ya kui-present Bungeni!!

Wakati wa kuandaa Kanuni za Bunge Maalum la Katiba, jamaa alijipambanua kuwa iwapo akikaa na wastaarabu, ni mzuri sana. Sasa hizi hoja za kilevi anazotoa ni dhahiri kuwa hivi sasa amerudi kwenye kundi lake la vichaa na walevi wa Viroba na gongo.
 
Hoja zako zipo vyema ila ni nyepesi sana ,ur too emotional . Punguza chuki kwa muhusika (Lissu ) utaweza kumkamata kihoja Lissu na si kwa hoja nyepesi nyepesi namna hii.

Mtazamo
 
Kama Tundu lissu asingezungumza ungejuaje huo UBATILI NA UHARAMU wa muungano wetu?
 
Huna tofauti kimawazo na wale Wenyeviti wa Bunge Maalum la Katiba wanao wakilisha waliowengi , hasa kwa mawazo yako 1. hadi 10..... Poor Points with a lot of words.

yani hapo kwnye point 1 hadi 10 ni pumba hadi nimeshindwa kusoma points zote, naona maneno meng yenye points dhaifu sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…