Jinsi unavyoweza kuagiza mabelo ya mtumba kutoka China na Dubai kwa bei chee na kupata faida mara 2 au 3 zaidi

Jinsi unavyoweza kuagiza mabelo ya mtumba kutoka China na Dubai kwa bei chee na kupata faida mara 2 au 3 zaidi

Kuuziwa ronya ni nje nje nawaona wachina wanavo sort nikasema aaah!

Watanzania tunasema unaeza otea dodo 😁😁😁
 
Kwa Balo za pochi na school bags napataje msaada
Karibu Fago Express boss, nitakuletea mizigo yako hii Kwa Gha-rama nafuu, utakachofanya hata km huna PESA kamili utalipia 50% ingine utamalizia mdogomdogo. Karbu whatapp call/text +255765018958
 
Huu uzi una uhai,
nami leo nimesoma na nimejifunza mengi sana, mimi ni mfanyabiashara mdogo wa nguo za michezo. Nataka nianza kuagiza nje na mimi. Msaada kwa anaeweza kunipa mwangaza.
Natanguliza shukrani
 
Mwenye uzoefu wa kuagiza mtumba toka Dubai au Canada, naomba atushirikishe uzoefu wake
 
Back
Top Bottom