Jinsi unavyoweza kuagiza mabelo ya mtumba kutoka China na Dubai kwa bei chee na kupata faida mara 2 au 3 zaidi

Bonge LA Mada
 
Mi nachukua kwa dada mmoja yeye yupo arusha huwa anauza mtumba mzuri sana kwa dar sehemu nyingi ni magumashi japo wapo pia wanaouza mtumba mzuri inagemea na nguo unayoitaka
Naomba unk link na huyo dada wa arusha mkuu.
 
Je hao shipping agents akina Silent Ocean etc wana huduma ya kumfikishia mzigo mteja aliye nje ya DSM?

Au ni lazima kuifuata DSM kwa aliye mkoa?
 
Ila changamoto ya silent ocean ipo na kwa agents wengine mizigo inachelewa mpaka unasahau uliagiza ni nini? Miezi hadi 3?.....je? Huko kwingine kukoje?
Nimeagiza na gnm umetumia 2month kasoro
 
Je hao shipping agents akina Silent Ocean etc wana huduma ya kumfikishia mzigo mteja aliye nje ya DSM?

Au ni lazima kuifuata DSM kwa aliye mkoa?
Mkuu mimi nna experience ya kuagiza na gnm na silent toka china,nipo mkoani,mzigo wangu ukifika nalipia kwa simu then wananitumia release order,unaomba watu wa warehouse wanakutafutia gari au boda depending na ukubwa wa mzigo,then kwa my case hua wananipelekea ofices za abood msimbazi na unanifikia mkoani kwangu bila wasi wasi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…