Jinsi unavyoweza kuagiza mabelo ya mtumba kutoka China na Dubai kwa bei chee na kupata faida mara 2 au 3 zaidi

Naomba namba za ofisi za abood mkuu
 
Samahani kwako muanzisha Uzi, pia ubarikiwe saana Hata kama Wengine hawapendi !!

Naomba unijuze kidogo kuhusu gharama za mzigo kama ufuatao please
Labda ni mzigo wa kg 150 na nimeununua kwa thamani ya Tsh 1,000,000/=
Je gharama za usafirishaji inaweza kuwa ikagharimu tsh ngapi kwa kuwatumia hao silent ocean Mpaka dar es salaam pia naomba kujua gharama za pale bandarini ( ushuru) kwenye huo mzigo inaweza fikia shingapi naomba mwongozo
Ahsante[emoji120][emoji120]
 
Mzigo unalipiwa kwa cbm
Ukishalipa nauli hudaiwi kitu kingine unabeba mzigo wako unasepa
 
CBM 1 moja huwa ni $ 400 hadi 350 inategemea na kampuni, ila belo la nguo huwa ni cbm 0.1 to 0.2 na point zake inategemea supplier kapack vip huo mzgo
Mfano CBM Moja [emoji849][emoji849] inaghara ngapi ndugu samahani lakini,
Maana Nina box lenye urefu 43cm upana 43cm pia uzito ni kg 23
 
Nmekuelewa mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…