scientificall
JF-Expert Member
- Jun 4, 2015
- 457
- 328
hizo no zao mbona hazipo watsaapWacheki hapo juu nmeweka namba zao
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
hizo no zao mbona hazipo watsaapWacheki hapo juu nmeweka namba zao
Zipo anza na +0086
Naomba namba za ofisi za abood mkuuMkuu mimi nna experience ya kuagiza na gnm na silent toka china,nipo mkoani,mzigo wangu ukifika nalipia kwa simu then wananitumia release order,unaomba watu wa warehouse wanakutafutia gari au boda depending na ukubwa wa mzigo,then kwa my case hua wananipelekea ofices za abood msimbazi na unanifikia mkoani kwangu bila wasi wasi
Mbona moq yako 1tonsGracer wako vzuri. Wacheki alibaba
SahihiBonge la uzi aisee
Mzigo unalipiwa kwa cbmSamahani kwako muanzisha Uzi, pia ubarikiwe saana Hata kama Wengine hawapendi !!
Naomba unijuze kidogo kuhusu gharama za mzigo kama ufuatao please
Labda ni mzigo wa kg 150 na nimeununua kwa thamani ya Tsh 1,000,000/=
Je gharama za usafirishaji inaweza kuwa ikagharimu tsh ngapi kwa kuwatumia hao silent ocean Mpaka dar es salaam pia naomba kujua gharama za pale bandarini ( ushuru) kwenye huo mzigo inaweza fikia shingapi naomba mwongozo
Ahsante![]()
![]()
Naomba unisaidie no ya whatsapp pleaseGuys, kwa China na recommend huyu Supplier ana blouse Kali sana ila ni Silk, kampuni yao ni Gracer unaeza wasearch Alibaba. 100 na 45 kg anakubali..pia ana namba za WhatsApp
Mfano CBM Moja [emoji849][emoji849] inaghara ngapi ndugu samahani lakini,Mzigo unalipiwa kwa cbm
Ukishalipa nauli hudaiwi kitu kingine unabeba mzigo wako unasepa
Mfano CBM Moja [emoji849][emoji849] inaghara ngapi ndugu samahani lakini,
Maana Nina box lenye urefu 43cm upana 43cm pia uzito ni kg 23
Ouk sawa shukrani saana, ntarejea kuleta feedbackMuulize mchina huo mzigo wako una CBM ngapi siyo kg then akikujibu ntakujuza
Cbm inategemea ni bidhaa ganiMfano CBM Moja [emoji849][emoji849] inaghara ngapi ndugu samahani lakini,
Maana Nina box lenye urefu 43cm upana 43cm pia uzito ni kg 23
Nmekuelewa mkuuMkuu mimi nna experience ya kuagiza na gnm na silent toka china,nipo mkoani,mzigo wangu ukifika nalipia kwa simu then wananitumia release order,unaomba watu wa warehouse wanakutafutia gari au boda depending na ukubwa wa mzigo,then kwa my case hua wananipelekea ofices za abood msimbazi na unanifikia mkoani kwangu bila wasi wasi