Jinsi unavyoweza kuagiza mabelo ya mtumba kutoka China na Dubai kwa bei chee na kupata faida mara 2 au 3 zaidi

CBM is simply the volume of your shipment. ...

1 kg = 0.001 CBM.

10 kg = 0.01 CBM.

50 kg = 0.05 CBM.

100 kg = 0.1 CBM.

200 kg = 0.2 CBM.

500 kg = 0.5 CBM.

1000 kg = 1 CBM.
Mlinganisho huu unatumika kwenye maji tu. Tena maji yasiyo ya chumvi. Bidhaa nyingine zinatofautiana sana. Mfano kg 1000 za bolt/nuts ni chini ya cbm 1.
 
tuone kwenye picha
 
Habari wadau,

Napita tu wadau, nasambaza upendo huu kwa wafanya biashara/makampuni tusiingie hasara;

31March ni deadline (siku ya mwisho) kufanya MAKADIRIO YA KODI. siku moja ya kuchelewa faini 225,000/=
KWA MSAADA ZAIDI NICHEKI 0788104228

 
Oranoo mkuu hivi wachina wakisema grade A inakua ni kweli au wanaweza kusema ili kuvutia mteja. Naomba uzoefu wako kwenye hili nataka niweke Ada ya chuo
 
Barikiwa
 
Kuna jamaa anaitwa brother d yupo mwenge kule karb na mliman city na Andrew collection yupo ubungo river side hiv hawa jamaa mabelo wanachukulia wap? kwa anayefaham

Wana nguo kali?
 
Kuna jamaa anaitwa brother d yupo mwenge kule karb na mliman city na Andrew collection yupo ubungo river side hiv hawa jamaa mabelo wanachukulia wap? kwa anayefaham
Ukipata jibu nitag
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…