OllaChuga Oc
JF-Expert Member
- Jul 4, 2016
- 21,569
- 24,812
Tukutane baadaye.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hujaweka namba mkuuYap, wacheki hissen global wapo vzur sana na huyu dada naeka namba hapa chini anaitwa Cindy Wang
Japo Hissen moq yao kubwa na wasafirishaji wamepandisha bei cbm moja ya viatu $700😭Yap, wacheki hissen global wapo vzur sana na huyu dada naeka namba hapa chini anaitwa Cindy Wang
GNMUnatumia kampuni gani
+8618650001351
Naomba mawasiliano yao tafadhariTumia silent USD 400 per cbm
Namba ya huduma kwa wateja hiyo 0746 813 813Naomba mawasiliano yao tafadhari
Nimewapigia Silent na wao $700 mzee khaaTumia silent USD 400 per cbm
Bei zimepanda sana nowDuh, hyo n hatari kuna mzgo wangu upo njia afu sikujua ka wamepandisha bei
Hata sielewi yaani imepanda ndani ya mwezi wa 4.Mafuta ndo shida au n masiasa yao
Full containerM
Mwenyewe utasafirisha vp kokudo