Jinsi unavyoweza kutengeneza million 20 mwaka huu 2025

Jinsi unavyoweza kutengeneza million 20 mwaka huu 2025

sonofobia

JF-Expert Member
Joined
Jun 21, 2015
Posts
1,171
Reaction score
4,295
Tafuta product moja unayoweza kuweka nguvu zako.

Bidhaa hiyo utaiuza kwa sh elfu 10 kwa wateja 2000 kwa mwaka.

Hakikisha ni bidhaa inayohitajika sokoni.

10,000 * 2000=20,000,000.

Mfano zalisha mafuta ya ngozi target wateja 2000. Yabrand kwenye social media na mtaani utapata hiyo pesa.


Au kitabu cha q&a review kwa madarasa ya mitihani mfano la saba, darasa la nne form 4.

Unaweza igeuza hesabu utakavyo e.g. 20,000*1000

Lengo mil 20.

Mwaka wa kufosi jilipue toka kwenye comfort zone.
 
Ngoja niuze chupi zenye faida ya tsh 500 kila moja kwa watu 40,000 kwa mwaka.

40,000÷365=110

Ina maana kwa siku niuze kwa watu 110,aisee sio kazi ya kitoto,inabidi niroge kabisa
Kwa faida hizo ndogo inahitaji mtaji mkubwa kwa bidhaa za jumla

Kuna mama mmoja wa kikinga anaporomosha magorofa Tabata anauza chupi na sidiria tu
Anaagiza chupi na sidiria kontena linakua na pisi kuanzia 1,000,000
China ananunua chupi moja 800 anakuja kuuza kwa jumla 1500-2000 kwa chupi
Kwa mwaka anakwenda si chini ya mara 6
Ukipiga mahesabu hapo inakua sio poa
 
Back
Top Bottom