RoDrick RaY
JF-Expert Member
- Aug 23, 2015
- 1,189
- 1,690
Sawa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tumeshafaanya ila makampuni ya usafirishji ni nyoko sana Sina ham naoIngia Alibaba tafuta product inayohitajika na watu wengi Bei isizidi sh 3000x 2000 = 6,000,000. kazia kwenye cosmetics
Weka na gharama za usafirishaji haitazidi 500,000.
Mzigo ukifika sambaza kwa namna unavyojua wewe [emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]
Ulichosema ni sawa. Pia unaweza kujikuta umetumia 20M kuzalisha 20M.Tafuta product moja unayoweza kuweka nguvu zako.
Bidhaa hiyo utaiuza kwa sh elfu 10 kwa wateja 2000 kwa mwaka.
Hakikisha ni bidhaa inayohitajika sokoni.
10,000 * 2000=20,000,000.
Mfano zalisha mafuta ya ngozi target wateja 2000. Yabrand kwenye social media na mtaani utapata hiyo pesa.
Au kitabu cha q&a review kwa madarasa ya mitihani mfano la saba, darasa la nne form 4.
Unaweza igeuza hesabu utakavyo e.g. 20,000*1000
Lengo mil 20.
Mwaka wa kufosi jilipue toka kwenye comfort zone.
Cool Idea, Hope hii itawasaidia wengiIngia Alibaba tafuta product inayohitajika na watu wengi Bei isizidi sh 3000x 2000 = 6,000,000. kazia kwenye cosmetics
Weka na gharama za usafirishaji haitazidi 500,000.
Mzigo ukifika sambaza kwa namna unavyojua wewe 🏃🏃🏃🏃🏃
Natamani biashara ingekuwa rahisi hiv 😤😤Tafuta product moja unayoweza kuweka nguvu zako.
Bidhaa hiyo utaiuza kwa sh elfu 10 kwa wateja 2000 kwa mwaka.
Hakikisha ni bidhaa inayohitajika sokoni.
10,000 * 2000=20,000,000.
Mfano zalisha mafuta ya ngozi target wateja 2000. Yabrand kwenye social media na mtaani utapata hiyo pesa.
Au kitabu cha q&a review kwa madarasa ya mitihani mfano la saba, darasa la nne form 4.
Unaweza igeuza hesabu utakavyo e.g. 20,000*1000
Lengo mil 20.
Mwaka wa kufosi jilipue toka kwenye comfort zone.
Tafuta kampuni nzuri, kampuni zipo.Tumeshafaanya ila makampuni ya usafirishji ni nyoko sana Sina ham nao
Kampuni ipi ni Bora na wako makin na ontimeTafuta kampuni nzuri, kampuni zipo.
aisee😂🤣K uuze kwa 20k kwa watu buku maana yake katika siku 360 awe anaondoka na watu sio chini ya watatu DAILY , non stop from 1 Jan to 31 Dec.
Hiyo nyapu lazima ibak marapu rapu
Una uliza ya bus ?Kampuni ipi ni Bora na wako makin na ontime
Natumia shamwaa Africa.Kampuni ipi ni Bora na wako makin na ontime
Meli kutoka chinaUna uliza ya bus ?
Sawa wao wanachukua mda gan? Kufika hap tzNatumia shamwaa Africa.
naona Ile kampuni ya gsm Ina sifiwa na wadau, jaribu kuwa tumia hao.Meli kutoka china
Mkuu… Bado hujasema!Lengo mil 20.
Jibu swali langu kwanza!Wewe una mtaji kiasi gani?
Na baada ya research umeona unaweza kuuza nini?
Usiogope mkuu chupi zinatoka sana, maan sisi wwngine ikipanda midadi huw tunazichana🤣Ngoja niuze chupi zenye faida ya tsh 500 kila moja kwa watu 40,000 kwa mwaka.
40,000÷365=110
Ina maana kwa siku niuze kwa watu 110,aisee sio kazi ya kitoto,inabidi niroge kabisa
Dada Midekoo naomba ufungue PM kuna jambo nataka tuzungumzeIngia Alibaba tafuta product inayohitajika na watu wengi Bei isizidi sh 3000x 2000 = 6,000,000. kazia kwenye cosmetics
Weka na gharama za usafirishaji haitazidi 500,000.
Mzigo ukifika sambaza kwa namna unavyojua wewe 🏃🏃🏃🏃🏃