Al-mukheef
JF-Expert Member
- Feb 2, 2025
- 3,727
- 3,777
HeheheK uuze kwa 20k kwa watu buku maana yake katika siku 360 awe anaondoka na watu sio chini ya watatu , non stop from 1 Jan to 31 Dec.
Hiyo nyapu lazima ibak marapu rapu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
HeheheK uuze kwa 20k kwa watu buku maana yake katika siku 360 awe anaondoka na watu sio chini ya watatu , non stop from 1 Jan to 31 Dec.
Hiyo nyapu lazima ibak marapu rapu
Kuna kazi ngumu aiseeHehehe
SanaKwa maandishi verrrrry eeeeasyyy
Biashara sikuhizi zimekua scam
SureKuna kazi ngumu aisee
Millioni ishirini faida au mauzo?Tafuta product moja unayoweza kuweka nguvu zako.
Bidhaa hiyo utaiuza kwa sh elfu 10 kwa wateja 2000 kwa mwaka.
Hakikisha ni bidhaa inayohitajika sokoni.
10,000 * 2000=20,000,000.
Mfano zalisha mafuta ya ngozi target wateja 2000. Yabrand kwenye social media na mtaani utapata hiyo pesa.
Au kitabu cha q&a review kwa madarasa ya mitihani mfano la saba, darasa la nne form 4.
Unaweza igeuza hesabu utakavyo e.g. 20,000*1000
Lengo mil 20.
Mwaka wa kufosi jilipue toka kwenye comfort zone.
Hatari sana.Anakuambia ukadange!
😂😂Tafuta product moja unayoweza kuweka nguvu zako.
Bidhaa hiyo utaiuza kwa sh elfu 10 kwa wateja 2000 kwa mwaka.
Hakikisha ni bidhaa inayohitajika sokoni.
10,000 * 2000=20,000,000.
Mfano zalisha mafuta ya ngozi target wateja 2000. Yabrand kwenye social media na mtaani utapata hiyo pesa.
Au kitabu cha q&a review kwa madarasa ya mitihani mfano la saba, darasa la nne form 4.
Unaweza igeuza hesabu utakavyo e.g. 20,000*1000
Lengo mil 20.
Mwaka wa kufosi jilipue toka kwenye comfort zone.
Yap 20000 Mara odd 1000 ni ww tu kuongeza odds hata 30000 kwa siku unatoka na mpunga mrefuAu tubet kiongozi 😅😅😅
Hakuna jinsi mkuuAu tubet kiongozi 😅😅😅
Ingia Alibaba tafuta product inayohitajika na watu wengi Bei isizidi sh 3000x 2000 = 6,000,000. kazia kwenye cosmeticsPossible mtu akiwa na Plan nzuri .
Shusha na kiasi cha mtaji kitakacho zalisha iyo 20M
Yaan hujatoa operation cost na buying cost wew unajua biashara kweli,au unapewa bure hiyo bizaaTafuta product moja unayoweza kuweka nguvu zako.
Bidhaa hiyo utaiuza kwa sh elfu 10 kwa wateja 2000 kwa mwaka.
Hakikisha ni bidhaa inayohitajika sokoni.
10,000 * 2000=20,000,000.
Mfano zalisha mafuta ya ngozi target wateja 2000. Yabrand kwenye social media na mtaani utapata hiyo pesa.
Au kitabu cha q&a review kwa madarasa ya mitihani mfano la saba, darasa la nne form 4.
Unaweza igeuza hesabu utakavyo e.g. 20,000*1000
Lengo mil 20.
Mwaka wa kufosi jilipue toka kwenye comfort zone.
Wewe ni smart.Ingia Alibaba tafuta product inayohitajika na watu wengi Bei isizidi sh 3000x 2000 = 6,000,0000 kazia kwenye cosmetics
Weka na gharama za usafishaji haitazidi 500,000.
Mzigo ukifika sambaza kwa namna unavyojua wewe 🏃🏃🏃🏃🏃
Vipi dada mbona unatembeza likes kama njugu 😃 MidekooSure
???....
Huu ni ufilisiYap 20000 Mara odd 1000 ni ww tu kuongeza odds hata 30000 kwa siku unatoka na mpunga mrefu