Jinsi unavyoweza kutengeneza million 20 mwaka huu 2025

Jinsi unavyoweza kutengeneza million 20 mwaka huu 2025

shida ni uupinge uzi wake hata haimchukui nusu sekunde kukuita malaya!, inavyoonekana anahasira sana hebu tutoke huku my wangu tusije kuitwa vikaragosi...😂
Upo sahihi my wangu. Let's gerare here!
 
Tafuta product moja unayoweza kuweka nguvu zako.

Bidhaa hiyo utaiuza kwa sh elfu 10 kwa wateja 2000 kwa mwaka.

Hakikisha ni bidhaa inayohitajika sokoni.

10,000 * 2000=20,000,000.

Mfano zalisha mafuta ya ngozi target wateja 2000. Yabrand kwenye social media na mtaani utapata hiyo pesa.

Au kitabu cha q&a review kwa madarasa ya mitihani mfano la saba, darasa la nne form 4.

Unaweza igeuza hesabu utakavyo e.g. 20,000*1000

Lengo mil 20.

Mwaka wa kufosi jilipue toka kwenye comfort zone.
Lete mbinu nyingine hizo hazipandi
 
Ngoja niuze chupi zenye faida ya tsh 500 kila moja kwa watu 40,000 kwa mwaka.

40,000÷365=110

Ina maana kwa siku niuze kwa watu 110,aisee sio kazi ya kitoto,inabidi niroge kabisa
Fanya wholesale utaona hesabu inakuwa nyepesi sana

Uzuri wa chupi faida mara tatu had Tano kwa retail wholesale shilling inazaa
 
shida ni uupinge uzi wake hata haimchukui nusu sekunde kukuita malaya!, inavyoonekana anahasira sana hebu tutoke huku my wangu tusije kuitwa vikaragosi...😂
Hata mkitoka mtafuatwa hukohuko kuja kuitwa visokolokwinyo
 
Back
Top Bottom