Big Nyota
JF-Expert Member
- Apr 2, 2018
- 378
- 575
Ana wazo zuri sana, natamani kujua cosmetics zip kama ni mafuta, serum, creams n.k??Cool Idea, Hope hii itawasaidia wengi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ana wazo zuri sana, natamani kujua cosmetics zip kama ni mafuta, serum, creams n.k??Cool Idea, Hope hii itawasaidia wengi
Hii wanaweza kina mwampo, mule kanisani watu ni zaidi ya mia na ibada ni kila siku au mara tatu kwa wikiNgoja niuze chupi zenye faida ya tsh 500 kila moja kwa watu 40,000 kwa mwaka.
40,000÷365=110
Ina maana kwa siku niuze kwa watu 110,aisee sio kazi ya kitoto,inabidi niroge kabisa
Kama unapenda cosmetics fanya research utajua bidhaa pendwa.Ana wazo zuri sana, natamani kujua cosmetics zip kama ni mafuta, serum, creams n.k??
Huyo jamaa yeye kwenye kila chupi anaweza hata amua apate 2000 faida na watu watanunuaHii wanaweza kina mwampo, mule kanisani watu ni zaidi ya mia na ibada ni kila siku au mara tatu kwa wiki
Ni chupi gani hizo ambazo faida ya bei ya jumla ni mara 3 hadi 5. Hizihizi zinazouzwa 2000 kwa jumla kwamba wanazinunua kwa 400 inayojumlisha usafiri na ushuru?Fanya wholesale utaona hesabu inakuwa nyepesi sana
Uzuri wa chupi faida mara tatu had Tano kwa retail wholesale shilling inazaa
Changamoto ya wajasiriamali wanaoanza ni kutamani kufanya biashara na mzalishaji au agent mkuu akiamin atapata unafuu wakati mzalishaji tayari anastructure yake ya kufanya biashara hawez kukuzia wewe mteja mdogo unaenunua PCs chache wakati Kuna mtu ananunua mzigo wako mara 200 au 500 kwa wakati mmoja hvyo atakataa kukuuzia au atakuuzia kwa Bei kubwa kumlinda yule mteja wake mkubwa.Ni chupi gani hizo ambazo faida ya bei ya jumla ni mara 3 hadi 5. Hizihizi zinazouzwa 2000 kwa jumla kwamba wanazinunua kwa 400 inayojumlisha usafiri na ushuru?
Swali langu ni je kuna mtu ananunua chupi kwa shilingi 400 kisha anakuja kuiuza Kariakoo kwa jumla kiasi cha shilingi 2000?Changamoto ya wajasiriamali wanaoanza ni kutamani kufanya biashara na mzalishaji au agent mkuu akiamin atapata unafuu wakati mzalishaji tayari anastructure yake ya kufanya biashara hawez kukuzia wewe mteja mdogo unaenunua PCs chache wakati Kuna mtu ananunua mzigo wako mara 200 au 500 kwa wakati mmoja hvyo atakataa kukuuzia au atakuuzia kwa Bei kubwa kumlinda yule mteja wake mkubwa.
Hii inamana kuwa nenda kwa agent wa Alie karibu nae Jenga mahusiano mazuri utapata mzigo kwa Bei nzur pengine ndani ya muda mfupi utaaminiwa utapewa hata unafuu wa mkopo usijisumbue kujusanya 10m uende shina ukajichoshe wakati Kuna mkinga au mangi amekaa dukan kwako anatoa oda ya 500m au 2b ukiamin umepata nafuu kumbe umeinngia kwenye ushindani na mabwana wakubwa.
Ila mwisho wa siku ukikomaa unatoboa ila mahesabu n muhimu mfano👇👇👇
Kuagiza chupi china n 1000 na kununua dukan jumla n 1250 Sasa ukiusubiri mzigo wa china unakaa Zaid ya 40dys wakati wa dukan chapu unanunua PCs za kiasi Cha uhitaji na unaupata hapohapo na faida unaupata hapo hapo Sasa mfikirie yule aliagiza china mpaka mzigo ufike ndiomana Kuna watu wameamua kuwa madalali au matapeli wanakwambia wanakitafutia mzigo kwa Bei rahisi wenyewe walishaliona Hilo kuwa kutoboa n ngumu hvyo acha wale chajuu chap.
Lete pesa nikuuzie vitu vizuri upambanie kombe boss wangu
Chupi zinauzwa had 1,800 dzn china bongo 4,000 had 5,000 wewe ushindwe kuuza boss na wholesale zipo dazan 9,000-12,000 kwa dazan.Swali langu ni je kuna mtu ananunua chupi kwa shilingi 400 kisha anakuja kuiuza Kariakoo kwa jumla kiasi cha shilingi 2000?
Faida mara tano na bei ya jumla sio rejareja?
Sawa mkuu mimi nachojua Kariakoo biashara za jumla ili zitoke sana bei ichezee kwenye 40% to 100% max. Ikizidi hapo kutaka faida mara tatu utalaza mali na utaita ushindani, wenye hela wengi.Chupi zinauzwa had 1,800 dzn china bongo 4,000 had 5,000 wewe ushindwe kuuza boss na wholesale zipo dazan 9,000-12,000 kwa dazan.
NOTE: Biashara ya chup niliicha siku nying sana
Hata ukiuza kwa hyo 40% na n wholesale mbona mambo Bado sio mabayaSawa mkuu mimi nachojua Kariakoo biashara za jumla ili zitoke sana bei ichezee kwenye 40% to 100% max. Ikizidi hapo kutaka faida mara tatu utalaza mali na utaita ushindani, wenye hela wengi.
Inaitwaje mkuunaona Ile kampuni ya gsm Ina sifiwa na wadau, jaribu kuwa tumia hao.