Jinsi unavyoweza kutengeneza million 20 mwaka huu 2025

shida ni uupinge uzi wake hata haimchukui nusu sekunde kukuita malaya!, inavyoonekana anahasira sana hebu tutoke huku my wangu tusije kuitwa vikaragosi...πŸ˜‚
Upo sahihi my wangu. Let's gerare here!
 
Ngoja niuze chupi zenye faida ya tsh 500 kila moja kwa watu 40,000 kwa mwaka.

40,000Γ·365=110

Ina maana kwa siku niuze kwa watu 110,aisee sio kazi ya kitoto,inabidi niroge kabisa
Umewahi kufanya biashara?
 
Lete mbinu nyingine hizo hazipandi
 
Ngoja niuze chupi zenye faida ya tsh 500 kila moja kwa watu 40,000 kwa mwaka.

40,000Γ·365=110

Ina maana kwa siku niuze kwa watu 110,aisee sio kazi ya kitoto,inabidi niroge kabisa
Fanya wholesale utaona hesabu inakuwa nyepesi sana

Uzuri wa chupi faida mara tatu had Tano kwa retail wholesale shilling inazaa
 
shida ni uupinge uzi wake hata haimchukui nusu sekunde kukuita malaya!, inavyoonekana anahasira sana hebu tutoke huku my wangu tusije kuitwa vikaragosi...πŸ˜‚
Hata mkitoka mtafuatwa hukohuko kuja kuitwa visokolokwinyo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…