Jinsi unavyoweza kutengeneza million 20 mwaka huu 2025

Millioni ishirini faida au mauzo?
 
πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Possible mtu akiwa na Plan nzuri .

Shusha na kiasi cha mtaji kitakacho zalisha iyo 20M
Ingia Alibaba tafuta product inayohitajika na watu wengi Bei isizidi sh 3000x 2000 = 6,000,000. kazia kwenye cosmetics
Weka na gharama za usafirishaji haitazidi 500,000.
Mzigo ukifika sambaza kwa namna unavyojua wewe πŸƒπŸƒπŸƒπŸƒπŸƒ
 
Yaan hujatoa operation cost na buying cost wew unajua biashara kweli,au unapewa bure hiyo bizaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…