K KalamuTena JF-Expert Member Joined Jul 7, 2018 Posts 13,181 Reaction score 17,187 Apr 20, 2020 #21 Tila-lila2 said: Hivi anaweza kuyasema kweli? Click to expand... Kamwe hawezi, ndio maana nikamwandikia mleta mada kwamba kura yake ni 'cheap' mno.
Tila-lila2 said: Hivi anaweza kuyasema kweli? Click to expand... Kamwe hawezi, ndio maana nikamwandikia mleta mada kwamba kura yake ni 'cheap' mno.
Rhz4567 JF-Expert Member Joined Mar 16, 2018 Posts 5,371 Reaction score 7,382 Apr 20, 2020 #22 Tila-lila2 said: Hapana - tena hata kuongelewa hazijawahi! Click to expand... Ndiyo ccm hiyo
Smart911 Platinum Member Joined Jan 3, 2014 Posts 179,428 Reaction score 197,153 Apr 20, 2020 #23 Ngoja tuone... Cc: mahondaw
Natafuta kiki JF-Expert Member Joined Dec 27, 2016 Posts 914 Reaction score 1,302 Apr 20, 2020 #24 technically said: Tukisema sisi tunaitwa kila aina ya majina ila ukweli kumchagua jiwe tena unaitajika uwe mnafiki wa kiwango cha phd. jamaa urais umemshinda 100%. Click to expand... Kwani una uhakika alichaguliwa au alitangazwa tu
technically said: Tukisema sisi tunaitwa kila aina ya majina ila ukweli kumchagua jiwe tena unaitajika uwe mnafiki wa kiwango cha phd. jamaa urais umemshinda 100%. Click to expand... Kwani una uhakika alichaguliwa au alitangazwa tu
T Tila-lila2 JF-Expert Member Joined Oct 20, 2019 Posts 652 Reaction score 1,058 Apr 21, 2020 Thread starter #25 Natafuta kiki said: Kwani una uhakika alichaguliwa au alitangazwa tu Click to expand... Alitangazwa tu ee?
Natafuta kiki said: Kwani una uhakika alichaguliwa au alitangazwa tu Click to expand... Alitangazwa tu ee?