Jinsi wakenya walivyolivaa suala la Rais Samia kuzuia wanaharakati wa Kenya kuingia nchini

The introvert

JF-Expert Member
Joined
Sep 15, 2023
Posts
1,508
Reaction score
3,136
Habarini wanajamvi.

Ni takribani masaa 16 yamepita tangu taarifa ya Rais Dr SSH kuhusu kuzuiwa kwa wanaharakati wa Kenya.

Taarifa hiyo imeripotiwa katika vyombo mbalimbali vya habari nchini Tanzania pamoja na Nchini Kenya hususani (Citizen Tv Kenya) .

Pia taarifa mbalimbali kuhusu kesi ya Mh TAL

Katika hali isiyo ya kawaida asilimia kubwa ya wananchi wa Kenya inaonekana hawajapendezwa kwa kitendo kilichofanyika huku wengi wao wakionekaana kujenga chuki binafsi dhidi ya Watanzania na kuleta hali ya majivuni na dharau dhidi ya Rais Dr SAH pamoja na watanzania kwa ujumla

Leo pia kuna taarifa imetoka ya kudukuliwa kwa aakaunti ya X ya Jeshi La Polisi Tanzania na ikarushwa pia kupitia Citizen Tv Kenya ambapo pia wakenya wameonesha kufuruahiswa na tukio hilo huku wengine wakitamba kuwa wao ndio waliofanya hivyo.

Je, kitendo cha jana kimeshusha hadhi yetu na ya viongozi wetu mbele ya wakenya?

Na je kipi kifanyike ili kuswazisha hali hii iwe sawa?

Hapa chini nitakuwekea baadhi ya post na comments za wananchi wa Kenya katika ukurasa wa Citizen Tv Kenya.


https://www.facebook.com/
View: https://www.facebook.com/share/v/18tuoaAkJ8/
https://www.facebook.com/
View: https://www.facebook.com/share/v/19aQHjdycb/

https://www.facebook.com/
View: https://www.facebook.com/share/v/14GwNHnMHzw/
https://www.facebook.com/
View: https://www.facebook.com/share/v/1C2snDd2US/

 
Tanzania itamdhibiti yeyote yule asieheshimu viongozi wa kitaifa wa Tanazania, atakaeingilia uhuru wa taasisi huru za ndani ya Tanazania na wala Tanazania haitamvumilia hata kwa sekunde moja mtu alievuruga amani nchini kwake alikotoka eti aje kuchochea amani ya Tanzania ivurugike.

wao waongee wawezavyo, wamtukane rais wao wawezavyo but hawatathubutu kuvumiliwa kufanya huo utovu wa nidhamu kwa viongozi wa Tanazania na kwenye ardhi ya Amani Tanazania 🐒
 


Hapa chini baadhi ya posts na comments za wakenya baada ya account ya X ya Tanpol kudukuliwa





 
Ati huko kwao "walishavuruga" wakati dunia nzima inajua progress walioyofikia ndugu zetu Wakenya, wana KATIBA BORA MPYA wana TUME HURU sasa huyu Dikteta wetu anaona ati ndio kuvuruga🤣🤣 she is very shallow🫣
CCM Mungu anawaona mumetuingiza cha kike.
 
Wakitoka hapo wanafanya discussion on TV, moderator ana narrative ya kuwalisha ujinga wakenya, anauliza leading questions to suit their propaganda.

Panel hawaulizwi maswali magumu, panel yenyewe tayari wana bias point of view to share, hakuna balance kwenye story kutafuta upande wa pili.

Unaweza kuona hawa mataahira ni watu wa kuropoka Zanzibar wamejazana huko mahotelini, Dar wamejaa, Arusha wamejaa; lakini wanadhani watanzania wako kwao tu huku hawapo.

Like serious Kenya has a long way kuelewa namna ya ku-shape social thinking kujijenga kama taifa la watu wamoja wao wenyewe kwanza kabla ya kuingilia mambo ya jirani zao.

They are so shallow, easily fed on propaganda and have a very misleading media ndio mzizi wa ujinga. Nadhani ndio most stupid people in the region and least informed on regional politics.

Kwa media za Kenya you can see why kuna divisions na tribalism, serikali yao inaonekana haiweki mkazo kutaka kuona standards za balance story kwenye national media na kutoa sanctions. Ndio msingi wa ujinga wa wakenya ukisoma post zao mitandaoni na kuangalia media zao unapata picha on the reasons behind their ignorance.

Just stupid people
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…