Interested Observer
Platinum Member
- Mar 27, 2006
- 4,999
- 7,928
Tlaatlaa (Abdul - Sonny - Santino) umevimbiwa hela za mama yako.Tanzania itamdhibiti yeyote yule asieheshimu viongozi wa kitaifa wa Tanazania, atakaeingilia uhuru wa taasisi huru za ndani ya Tanazania na wala Tanazania haitamvumilia hata kwa sekunde moja mtu alievuruga amani nchini kwake alikotoka eti aje kuchochea amani ya Tanzania ivurugike.
wao waongee wawezavyo, wamtukane rais wao wawezavyo but hawatathubutu kuvumiliwa kufanya huo utovu wa nidhamu kwa viongozi wa Tanazania na kwenye ardhi ya Amani Tanazania 🐒
Google translater😂Watatumia lugha gani mkuu...🤣
Huko Kenya kumbe watz wanauza njugu na kahawa? Mbona wakija huku wanavimba sana na bmw x7
Nakujua mzew wa kuchangamka 😂 , we chukua tu link ukapmbane nayo mwenyewe 😂Zimemdhalilisha nani kwani mkuu...🤔
We tupia tu hapa watu tuchangamshe akili na kuburudisha macho...😜
Kwasasa wapo LIVE Huko YouTube wanamlilia mama na nyimbo ya maombolezo tena Kupitia page ya TRAWatatumia lugha gani mkuu...🤣
https://www.facebook.com/Zimemdhalilisha nani kwani mkuu...🤔
We tupia tu hapa watu tuchangamshe akili na kuburudisha macho...😜
Kwani hawajui kutema yai au kuandika 😁😁😁Watatumia lugha gani mkuu...🤣
Quimby, siyo Zanzibar tu, nenda Middle East, yaani Dubai, Abu Dhabi, Qatar, Bahrain, Nenda Ulaya, Hong Kong, Australia North America etc etc Kenya wapo kwenye White Collar, have you compared with your Motherland? They are by far reasonableWakitoka hapo wanafanya discussion on TV, moderator ana narrative ya kuwalisha ujinga wakenya, anauliza leading questions to suit their propaganda.
Panel hawaulizwi maswali magumu, panel yenyewe tayari wana bias point of view to share, hakuna balance kwenye story kutafuta upande wa pili.
Unaweza kuona hawa mataahira ni watu wa kuropoka Zanzibar wamejazana huko mahotelini, Dar wamejaa, Arusha wamejaa; lakini wanadhani watanzania wako kwao tu huku hawapo.
Like serious Kenya has a long way kuelewa namna ya ku-shape social thinking kujijenga kama taifa la watu wamoja wao wenyewe kabla ya kuingilia mambo ya jirani.
They are so shallow, easily fed on propaganda and have a very misleading media ndio mzizi wa ujinga. Nadhani ndio most stupid people in the region and least informed on regional politics.
Kwa media za Kenya you can see why kuna divisions na tribalism, serikali yao inaonekana haiweki mkazo kutaka kuona standards za balance story kwenye national media na kutoa sanctions. Ndio msingi wa ujinga wa wakenya ukisoma post zao mitandaoni na kuangalia media zao unapata picha on the reasons behind their ignorance.
Just stupid people
Najua Mimi ni mTz na mzalendo wa kweli,Tanzania itamdhibiti yeyote yule asieheshimu viongozi wa kitaifa wa Tanazania, atakaeingilia uhuru wa taasisi huru za ndani ya Tanazania na wala Tanazania haitamvumilia hata kwa sekunde moja mtu alievuruga amani nchini kwake alikotoka eti aje kuchochea amani ya Tanzania ivurugike.
wao waongee wawezavyo, wamtukane rais wao wawezavyo but hawatathubutu kuvumiliwa kufanya huo utovu wa nidhamu kwa viongozi wa Tanazania na kwenye ardhi ya Amani Tanazania 🐒
Hatari sana yani sijui tunakoendea ni wapi , Na hili la kuhack account ni wao ndo wanajimwambafyNajua Mimi ni mTz na mzalendo wa kweli,
Mama Samia asisome Wala kuangalia video za YouTube aisee wakenya wanatukana na wanatudis huko mitandaoni.
For sure GENTLEMAN 😊 hakuna tunacho wazidi wa kenya economically na wameamua kututukana kua hatujui kiingereza,tunaviburi, hatuna uchumi wa kuvimbiana nao, nchini kwao tunauza njugu na uji, kule kwao dada zetu wanafanya kazi ya kujiuza (umalaya) wameenda mbali mpaka kutaka kuwapiga na kufukuza watanzania wenzetu waishio kenya.
Muda huu Hadi account ya CCM nayo wnepita nayo Huko YouTubeKenya hawana shughuli ndogo
Asee ni hatari snMuda huu Hadi account ya CCM nayo wnepita nayo Huko YouTube View attachment 3339803
Hata watanzania wapo kote huko sema hawajitangazi na wanafanya makubwa tu.Quimby, siyo Zanzibar tu, nenda Middle East, yaani Dubai, Abu Dhabi, Qatar, Bahrain, Nenda Ulaya, Hong Kong, Australia North America etc etc Kenya wapo kwenye White Collar, have you compared with your Motherland? They are by far reasonable
Si mpaka waelewe lugha waliotumia Wakenya. Wanaweza kujibu "Tunamshukuru sana mama kwa kutukanwa"UVCCM wako wapi waende kuwajibu Wakenya huko Mitandaoni 🤣🤣
Kwahiyo ukielimika unakuwa chawa wa Lissu? Mbona hatujawahi kusikia akina mwabukusi wameenda kenya kusikiliza ugomvi wao wa madaraka? Kenye kumetokea hadi mapigani ya kikabila na wakauana sana, mbona watanzania hatukwenda? Kisa hatuna elimu?Kenya walicahagua elimu, Tanzania mkachagua ujamaa au uchawa
UVCCM wako wapi waende kuwajibu Wakenya huko Mitandaoni
Kuna jamaa kasema huyo Raisi wenu mtukufu Hawezi kukojoa akiwa kasimama.Hatari sana yani sijui tunakoendea ni wapi , Na hili la kuhack account ni wao ndo wanajimwambafy