Jinsi wakenya walivyolivaa suala la Rais Samia kuzuia wanaharakati wa Kenya kuingia nchini

Rais wa Tanazania atatembelea YouTube, atasoma JF, Facebook, x na mitandaoni yote ya kijamii bila wasi wasi wowote, kwasabb hiyo inampa uelewa mpana zaid dhidi ya matusi ya waKenya waliokosa nidhamu na heshima, na zaid sana anapata ujasiri zaid wa kuwadhibiti bandits hao waKenya kama akina matha Karua.

Kenya hawana ardhi, ni wavivu wa kazi na ndio maana huwa wanaandamana na masufuria vichwani eti wakidai ugali ikulu badala ya kwenda kulima mashamba ambayo vile vile hawana.

Kiingereze kimewasadia nini gentleman? Walau kingewasaidia wasiuane ndio ungekuja kuwakingia kifua, otherwise ni nonsense tupu.

Lakini pia huo uchumi wao kuzidi wa Tanazania umewasaidia nini mama mboga wa Kenya wanaoishi kwenye maghorofa ya mabati mathalani huko Kibra na Kibera?

mTanzania anatamani kwenda kuishi au kufanya kazi Kenya hana maono, hajipendi na kabisaa amepoteza uelekeo.

wao wenyewe hawatoshi na nchi imeisha, iweje utamani kwenda kubanana?🐒
 
Turudi tena nyumbani, --------------; wakati Fulani nachanganyikiwa kidogo, not that liberal; -- hivi Tanzania tuna Middle Class? Tusiende nje ya East Africa, sasa kulinganisha Nairobi na Dar, hebu tulinganishe / defining middle class, hapo utakuwa unanifungua
 
Kenya wanajitambua sana. Huwezi kuwakejeli kama alivyofanya wakakuacha salama.
 
Basically middle class ni wasomi, ambao wameajiriwa na wana kipato cha kumudu maisha.

So wasomi wote Tanzania na wasio wasomi ambao wapo kwenye technical posts ndio definition ya Middle Class.

Moreover class structure ni pretty much associated na kingdoms (term ambayo kama Middle Class ambayo imekuwa na maana moja).

Otherwise originally upper class ni royals, lords na wapambe wao ambao wanazaliwa na privileges. Wakati Middle Class ni term ya professional kwenye gurudumu la maisha (ndio msingi wa terminology).
 
Tunavuliwa nguo nje kabisa ni huzuni kwa kweli
 
ukweli Lazima usemwe wazi wazi bila kificho,

hatutavumilia utovu wa nidhamu nonsense kabisaa wa wakenya kupitia useless activists wao 🐒
 
Lecturer wangu ndugu GENTLEMAN 😊 ZILE KAULI ZA KWENYE YOUTUBE MADAM PRESIDENT ZITAMVURUGA NA UHAKIKA KUNA MATUSI.

HATO WEZA KU HIMILI MIMI BINAFSI NIMESOMA NA KUANGALIA VIDEO YAANI NAWEZA RUSHA NGUMI.

MAMA SAMIA HANA MOYO HUO WA KUANGALIA KEJELI, DHIHAKA,MATUSI NA VIJEMBE LAZIMA PRESSURE KWA UMRI WAKE AMA ITAPANDA AU KUSHUKA.

MFANO MTU ANASEMA ANAENDESHWA NA MOOD SWINGS KWAKUA YUPO MENOPAUSE

MWINGINE ANASEMA NI YOUNG PRESIDENT PIA HAWEZI KUKOJOA AMESIMAMA

GENTLEMAN JAMAA WAMETUTUKAMA SANA SANAAAA
 
Kama kuna watu makini nchi hii dhidi ya nonsense za YouTube na kwenye mitandao ya kijamii, basi ni mkuu wa Taifa letu.

Na ndio maana umeona watu makini kama mimi huwa sijali wala sibabaikagi na mihemko au matusi ya wadau mballimbali ya JF, dhidi ya hoja na comments, kwasabb ya ile determination niko nayo sambamba na mkuu wa nchi.

Iko hivyo kwasabb matusi ni nonsense kwetu, malengo yetu ni kueleza ukweli tu na kuwafanyia kazi waTanzania.

You can use social medias to call me, or even the head of state as you like but not otherwise.🐒
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…