Natafuta Ajira
JF-Expert Member
- Mar 25, 2020
- 9,016
- 24,650
Wanaume wengi wamepumbazwa katika ili neno "kuwajibika" kitu ambacho kinapelekea wanaenda extra miles kulazimisha wafanikishe mambo yasiyokuwa na ulazima hata kama wanajiumiza au kujirudisha nyuma kimaendeleo. Tutaangalia baadhi ya mifano.
1. Mahusiano ya kimapenzi. Ukisikia mwanamke anaongelea mwanaume kuwajibika maana yake ni ku-provide monetary expenses. Hii kitu imekua too much na hata wanawake wamezoeshwa sana imefikia hatua wanaona kuongwa au kupewa hela ni haki yao. Dunia ya leo mwanamke kapewa uhuru na access zote za kujitafutia kitendo cha kutaka atimiziwe mahitaji yake na mwanaume kwa sababu tu ana-provide sex hii ni sawa na biashara ya ukahaba.
Wanawake wakiingia kwenye mahusiano wanataka kuhudumiwa wakati wao hawana output yoyote kwa mwanaume. Mwanamke hajawahi kuku-boost kifedha hajawahi kukupa ramani ya mchongo wa kupiga pesa lakini anataka umgharamie kodi, chakula, kupendeza petty cash na bata ndogo ndogo halafu anacho-provide yeye ni sex tu, this is totaly bullshit.
Wanaume wengi wanaona hii ni sawa kwa kudanganyika na ile sifa ya kuwajibika wakati in-return hakuna thamani yoyote anayopata kutoka kwa uyo mwanamke. Mwanaume kama upo katika mahusiano ya aina hii basi jitathmini.
2. Harakati za nguvu za kiume. Ushawahi kusikia matangazo ya kuongeza nguvu za kike? Kama ushawahi kusikia je yanapewa airtime kama yale ya kuongeza nguvu za kiume? Majibu utakayopata jiulize ni kwanini? Ni kwa sababu mwanaume ndie mteja wa status ya kuwajibika.
Mwanaume ndie mwenye ego ya kutaka kuonekana muwajibikaji ndio maana anakua mlengwa mkuu wa hii biashara. Matangazo yapo kimkakati ili uingie mkenge. Ukiwahi kumwaga una upungufu wa nguvu ukichelewa kumwaga una upungufu wa nguvu halafu hauambiwi izo kuwahi au kuchelewa zinazoeongelewa ni interval ya muda gani.
Matangazo mengine yanataja dalili nyingi sana kiasi kwamba hata kama hauna tatizo lazima kuna kipengere kitagusa kwenye orodha ndipo hapo unaingia gharama kujitibu tatizo ambalo hauna ila ni saikolojia yako tu imechezewa kutokana na matangazo unayoyaona mara kwa mara.
Nimtolea mfano hayo machache lakini kuna mambo mengi sana akili zetu wanaume zimechezewa tujue ni wajibu wetu kuyafanya wakati kiuhalisia ni biashara za watu. Tunatumika kama pawn kufanikisha malengo wa wafanyabiashara na wanawake. Mwanaume wajibika kwenye mambo ambayo yana faida katika mustakabali wa maisha yako sana sana kwenye vipengere vya afya yako na uchumi wako.