Hahahah eti mafuta .....siyo nina shida na laki mbili, siyo baba anaumwa kijijijini, siyo nadaiwa mkombozi benki, asa, vikoba, marejesho ya kikundi, niongezee hela nikanunue simu macho matatu, naomba nikopeshe laki tatu kama huna azima kwa rafiki zako, Kodi imeisha na hapa nilipo sina hata Mia, naomba nauli niende kwetu Tanga kwenye arobaini ya msiba wa ndugu yetu........🤣🤣🤣Binafsi nimeamua kufuta michepuko yote 7 nilokuwa nayo baada ya kujikomboa mapema kwa kustuka na kutambua kwamba hakuna reward yoyote katika kuwahudumia wanawake