Jinsi wanaume tunavyotapeliwa katika neno "kuwajibika"

Jinsi wanaume tunavyotapeliwa katika neno "kuwajibika"

Kwani yeye anapotaka mchezo mimi ni mume wake? Hivi suala la sex kwanini mmeliweka katika mlengo wa kwamba mnatufanyia favor au nyie hamuhitaji sex. Tukiwa boyfriend na girlfriend sex tutafanya sex kama starehe ya wote. Kama unafikiri unatakiwa kupewa hela kwa kufanya sex basi weka wazi kwamba unajiuza ijulikane ni mahusiano ya kibiashara na tuwe tunakubaliana bei kila tunapokutana. Lakini kwenye mahusiano ya boyfreind and girlfriend wewe kama mtu mzima mwenye nguvu na akili timamu utawajibika kufanya kazi ujihudumie kama hauna kazi basi suala la kukuhudumia ni jukumu la wazazi wako sio boyfreind. Nitakapoona una maadili mema na tabia nzuri kuweza kuwa mke nitakuoa na hapo ndipo nitabeba jukumu la kukuhudumia
Huyo huyo girlfriend unataka akija kwako awajibike kama wife. Akufulie afanye usafi..au hujawahi kusikia hayo?

Sio lazima umpe pesa baada ya sex lakini inapendeza mara moja moja ukimpa pesa kidogo kwaajili matumizi yake binafsi hasa kama hana shughuli yotote inayomuingizia kipato.
 
Wanaume wengi wamepumbazwa katika ili neno "kuwajibika" kitu ambacho kinapelekea wanaenda extra miles kulazimisha wafanikishe mambo yasiyokuwa na ulazima hata kama wanajiumiza au kujirudisha nyuma kimaendeleo. Tutaangalia baadhi ya mifano.

1. Mahusiano ya kimapenzi. Ukisikia mwanamke anaongelea mwanaume kuwajibika maana yake ni ku-provide monetary expenses. Hii kitu imekua too much na hata wanawake wamezoeshwa sana imefikia hatua wanaona kuongwa au kupewa hela ni haki yao. Dunia ya leo mwanamke kapewa uhuru na access zote za kujitafutia kitendo cha kutaka atimiziwe mahitaji yake na mwanaume kwa sababu tu ana-provide sex hii ni sawa na biashara ya ukahaba.

Wanawake wakiingia kwenye mahusiano wanataka kuhudumiwa wakati wao hawana output yoyote kwa mwanaume. Mwanamke hajawahi kuku-boost kifedha hajawahi kukupa ramani ya mchongo wa kupiga pesa lakini anataka umgharamie kodi, chakula, kupendeza petty cash na bata ndogo ndogo halafu anacho-provide yeye ni sex tu, this is totaly bullshit.

Wanaume wengi wanaona hii ni sawa kwa kudanganyika na ile sifa ya kuwajibika wakati in-return hakuna thamani yoyote anayopata kutoka kwa uyo mwanamke. Mwanaume kama upo katika mahusiano ya aina hii basi jitathmini.

2. Harakati za nguvu za kiume. Ushawahi kusikia matangazo ya kuongeza nguvu za kike? Kama ushawahi kusikia je yanapewa airtime kama yale ya kuongeza nguvu za kiume? Majibu utakayopata jiulize ni kwanini? Ni kwa sababu mwanaume ndie mteja wa status ya kuwajibika.

Mwanaume ndie mwenye ego ya kutaka kuonekana muwajibikaji ndio maana anakua mlengwa mkuu wa hii biashara. Matangazo yapo kimkakati ili uingie mkenge. Ukiwahi kumwaga una upungufu wa nguvu ukichelewa kumwaga una upungufu wa nguvu halafu hauambiwi izo kuwahi au kuchelewa zinazoeongelewa ni interval ya muda gani.

Matangazo mengine yanataja dalili nyingi sana kiasi kwamba hata kama hauna tatizo lazima kuna kipengere kitagusa kwenye orodha ndipo hapo unaingia gharama kujitibu tatizo ambalo hauna ila ni saikolojia yako tu imechezewa kutokana na matangazo unayoyaona mara kwa mara.

Nimtolea mfano hayo machache lakini kuna mambo mengi sana akili zetu wanaume zimechezewa tujue ni wajibu wetu kuyafanya wakati kiuhalisia ni biashara za watu. Tunatumika kama pawn kufanikisha malengo wa wafanyabiashara na wanawake. Mwanaume wajibika kwenye mambo ambayo yana faida katika mustakabali wa maisha yako sana sana kwenye vipengere vya afya yako na uchumi wako.
Kuna msemo unasema mwanaume atakula kwa jasho...Nako kamekaa kiunafiki ivi
 
Huyo huyo girlfriend unataka akija kwako awajibike kama wife. Akufulie afanye usafi..au hujawahi kusikia hayo?
Akija kwangu kuna gharama pia ananisababishia anakula, analala, anatumia maji na umeme mbona hayo hachangii chochote? tatizo mnahesabu mnayoyafanya nyie tu lakini mnayofanyiwa hamuesabu.
Sio lazima umpe pesa baada ya sex lakini inapendeza mara moja moja ukimpa pesa kidogo kwaajili matumizi yake binafsi hasa kama hana shughuli yotote inayomuingizia kipato.
Kusaidiana kupo lakini isiwe kanuni kwamba ni lazima mwanaume awe mtoaji na mwanamke awe mpokeaji. Kwani haiwezekani kutoa hela ikawa mutualy responsibility kulingana na vipato vyenu?. Tupo kwenye zama za usawa ambapo mwanamke kapewa uhuru na access zote za kutafuta maisha na tumeshuhudia kwenye jamii wanawake wengi wamefanikiwa kiuchumi zaidi ya wanaume, kwaiyo atakaekua na uwezo zaidi basi ainue living standard ya mwenzake bila kujali kigezo cha jinsia
 
Kuna msemo unasema mwanaume atakula kwa jasho...Nako kamekaa kiunafiki ivi
Ipo misemo mingi tu mkuu. "Wanaume tumeumbwa mateso", "kitanda hakizai haramu" n.k. yaani niubebe mzigo ambao naweza kuachana nao kisa mimi ni mwanaume.! yaani mwanamke afanye umalaya wake huko nilee mtoto sio wangu eti kitanda hakizai haramu.! hell noooo
 
Akija kwangu kuna gharama pia ananisababishia anakula, analala, anatumia maji na umeme mbona hayo hachangii chochote? tatizo mnahesabu mnayoyafanya nyie tu lakini mnayofanyiwa hamuesabu.

Kusaidiana kupo lakini isiwe kanuni kwamba ni lazima mwanaume awe mtoaji na mwanamke awe mpokeaji. Kwani haiwezekani kutoa hela ikawa mutualy responsibility kulingana na vipato vyenu?. Tupo kwenye zama za usawa ambapo mwanamke kapewa uhuru na access zote za kutafuta maisha na tumeshuhudia kwenye jamii wanawake wengi wamefanikiwa kiuchumi zaidi ya wanaume, kwaiyo atakaekua na uwezo zaidi basi ainue living standard ya mwenzake bila kujali kigezo cha jinsia
Kama hana shughuli yoyote na umempenda akiwa hivyo unategemea atoe nini kukupa wewe?
 
kama anaetunzwa ni mke then iwe no zex before marriage sio utake kumfaragusa bint wa watu umbidue juu chini ukiwa ushamnywea kvant au konyagi alafu usimtunze weeeeeee dada wa watu kajitunza hakupi UTI wala fangasi sijui alafu useme anaetunzwa ni mke as if kila mahusiano yako yanaishia kwenye ndoa 😂😂😂

huwezi kuhudumia bint wa watu usmuombe Papuchi mpaka umuoe vinginevyo utakula ulipopeleka mboga
Ulichokiongea "no sex before marriage" ni kitu sahihi, ila umekiweka kwenye mrengo wa kana kwamba, kwenye sex ni mwanaume tu anapata raha, na mwanamke hapati raha yoyote Amehlo
 
Kama hana shughuli yoyote na umempenda akiwa hivyo unategemea atoe nini kukupa wewe?
Mawazo, ushauri, taarifa za michongo ambayo anaona naweza kuifanya, faraja pale siku inapoenda vibaya n.k .. kuna wanawake hawana output yoyote kwenye maisha ya mwanaume wao ni kutaka matunzo tu na kumbebesha mwanaume gharama za tamaa zake za kufukuzana na fashion za nguo na matoleo mapya ya smartphone mbaya zaidi wanafikiri ni haki yao ya lazima kupewa hayo.
 
Kwani yeye anapotaka mchezo mimi ni mume wake? Hivi suala la sex kwanini mmeliweka katika mlengo wa kwamba mnatufanyia favor au nyie hamuhitaji sex. Tukiwa boyfriend na girlfriend sex tutafanya sex kama starehe ya wote. Kama unafikiri unatakiwa kupewa hela kwa kufanya sex basi weka wazi kwamba unajiuza ijulikane ni mahusiano ya kibiashara na tuwe tunakubaliana bei kila tunapokutana. Lakini kwenye mahusiano ya boyfreind and girlfriend wewe kama mtu mzima mwenye nguvu na akili timamu utawajibika kufanya kazi ujihudumie kama hauna kazi basi suala la kukuhudumia ni jukumu la wazazi wako sio boyfreind. Nitakapoona una maadili mema na tabia nzuri kuweza kuwa mke nitakuoa na hapo ndipo nitabeba jukumu la kukuhudumia

Mwanaume gani saivi anakubali kuwa na mahusiano bila ya sex kiufupi hamkubalii mnataka kula sasa hakuna wa kuliwa bure yaani hata hela ya kusuka asipewe

Hatutaki pesa nyingi ila tunataka huduma ndogondogo

Halafu suala la sex kwa mwanamke wala sio kipaumbele hata miaka 10 tunakaa bila kusex nyie ndio hua mnalazimisha hiyo sex kwa kuanza kutuitaita majumbani mwenu

Fanya hii zoezi tafuta binti alietulia date nae usizungumze suala la sex wala usimpe hela huone Kama atakuomba umuhudumie…

Mimi nishaachwa na wanaume 5 wote nilikataa sex kwao na sikuwai kuwaomba hata mia mbovu

Kiufupi nyie ndio mnataka sana hiyo sex na Hakuna mwanamke Miaka hii atakubali umle bila kumuhudumia

Kama hutaki kutoa pesa malaya wapo wengi wanajiuza hawana gharama nenda ununue hao

Au kaa na upwiru mpk utakapo oa ndio uhudumie mkeo sio lazima kuwa na mahusiano
 
Ulichokiongea "no sex before marriage" ni kitu sahihi, ila umekiweka kwenye mrengo wa kana kwamba, kwenye sex ni mwanaume tu anapata raha, na mwanamke hapati raha yoyote Amehlo
nyie ndo mnapata raha wanawake kati ya 100 20 ndo wanapata hiyo raha wengine wanafake tu kuwafanya msijiskie vibaya

ndo maana asilimia 80 ya mahusiano mwanaume ndo anae anza kuomba game na sio mwanamke
 
Mwanaume gani saivi anakubali kuwa na mahusiano bila ya sex kiufupi hamkubalii mnataka kula sasa hakuna wa kuliwa bure yaani hata hela ya kusuka asipewe

Hatutaki pesa nyingi ila tunataka huduma ndogondogo

Halafu suala la sex kwa mwanamke wala sio kipaumbele hata miaka 10 tunakaa bila kusex nyie ndio hua mnalazimisha hiyo sex kwa kuanza kutuitaita majumbani mwenu

Fanya hii zoezi tafuta binti alietulia date nae usizungumze suala la sex wala usimpe hela huone Kama atakuomba umuhudumie…

Mimi nishaachwa na wanaume 5 wote nilikataa sex kwao na sikuwai kuwaomba hata mia mbovu

Kiufupi nyie ndio mnataka sana hiyo sex na Hakuna mwanamke Miaka hii atakubali umle bila kumuhudumia

Kama hutaki kutoa pesa malaya wapo wengi wanajiuza hawana gharama nenda ununue hao

Au kaa na upwiru mpk utakapo oa ndio uhudumie mkeo sio lazima kuwa na mahusiano
Suala la mwanaume kuanza kuomba sex linatokana na malezi yetu tu waafrika. Sio rahisi mwanamke amwambie mwanaume moja kwa moja kwamba anataka sex isipokua mna indirect ways zenu kuwasilisha hisia then mwanaume ajiongeze na iyo haimaanishi ya kwamba mwanaume ndie muhitaji zaidi ndio maana kuna malalamiko mengi tu ya wanawake kwamba awaridhishwi na wanaume wao ingekua sex kwenu sio kipaumbele mnafanya tu kumpa favor mwanaume basi haya malalamiko yasingekuwepo.

Ninachoongelea mimi sex iwe mutualy pleasure sio determinant factor ya mwanamke kutaka pesa/matunzo kutoka kwa mwanaume. Achana na sex jiulize katika mahusiano yako una variable output ipi, that is what am talking about.
 
nyie ndo mnapata raha wanawake kati ya 100 20 ndo wanapata hiyo raha wengine wanafake tu kuwafanya msijiskie vibaya

ndo maana asilimia 80 ya mahusiano mwanaume ndo anae anza kuomba game na sio mwanamke
Unafanya tendo na mwanaume ambae hauna hisia nae umejituliza tu kwake ili uhudumiwe huku katikati ya tendo unawaza atakuachia shilingi ngapi wakati wa kuondoka iyo raha utaipatia wapi.
Tulia na umpendae fanya sex ukiwa umerelax na kuchukulia kama starehe ya kuburudishana tu sio mateso ya ku-demand repairing cost baada ya tendo
 
1. si mnasemaga mwanamke ni ua sasa Ua si linatakiwa kutunzwa jamani 😂😂

2. Nguvu za kike sisi tunahangaika kimyakimya sio kama nyie na sie zetu hazina madhara tukute tunahaha mara karafuu na asali mara okra water sijui kisoga huku nanasi na mtindi mara kikokwa ohoo tena bora nyie 😂😂😂😂
Mara vipipi🤣
 
Wanaume kuwajibika muhimu lasivyo ndio mnaelekea kubaya..
 
Umepika sana humu mwanangu, natamani nichangie ila kwa leo nitakaa kimya, haha.
 
Huyo huyo girlfriend unataka akija kwako awajibike kama wife. Akufulie afanye usafi..au hujawahi kusikia hayo?

Sio lazima umpe pesa baada ya sex lakini inapendeza mara moja moja ukimpa pesa kidogo kwaajili matumizi yake binafsi hasa kama hana shughuli yotote inayomuingizia kipato.
Ila wewe nae kichwa sana, una mawazo mazuri na very positive. Unaweza hata kumtetea mwizi aliyeiba Tandale asipigwe na wananchi wenye hasira kali.
 
Back
Top Bottom