Anaetunzwa ni mke. Nimemchukua mwanamke rasmi kutoka kwa wazazi wake anaishi kwangu uyo ndie mwanamke nawajibika kumtunza tena awe mama wa nyumbani, akiwa na kipato atawajibika kuleta kitu mezani.
Najua kuna wanawake wanaoangaika na ilo tatizo lakini lengo kubwa ni kuweza kumpagawisha mwanaume atoe huduma zaidi au ndoa kabisa kwaiyo ni kama uwekezaji tu kwenye biashara tofauti na mwanaume ambae anaangaika na viagra, mkongo n.k ili apate tu ile status ya kuwajibika lakini in-return hapati valuable output yoyote kutoka kwa mwanamke husika