Jinsi wanaume tunavyotapeliwa katika neno "kuwajibika"

Huyo huyo girlfriend unataka akija kwako awajibike kama wife. Akufulie afanye usafi..au hujawahi kusikia hayo?

Sio lazima umpe pesa baada ya sex lakini inapendeza mara moja moja ukimpa pesa kidogo kwaajili matumizi yake binafsi hasa kama hana shughuli yotote inayomuingizia kipato.
 
Your browser is not able to display this video.
 
Kuna msemo unasema mwanaume atakula kwa jasho...Nako kamekaa kiunafiki ivi
 
Huyo huyo girlfriend unataka akija kwako awajibike kama wife. Akufulie afanye usafi..au hujawahi kusikia hayo?
Akija kwangu kuna gharama pia ananisababishia anakula, analala, anatumia maji na umeme mbona hayo hachangii chochote? tatizo mnahesabu mnayoyafanya nyie tu lakini mnayofanyiwa hamuesabu.
Sio lazima umpe pesa baada ya sex lakini inapendeza mara moja moja ukimpa pesa kidogo kwaajili matumizi yake binafsi hasa kama hana shughuli yotote inayomuingizia kipato.
Kusaidiana kupo lakini isiwe kanuni kwamba ni lazima mwanaume awe mtoaji na mwanamke awe mpokeaji. Kwani haiwezekani kutoa hela ikawa mutualy responsibility kulingana na vipato vyenu?. Tupo kwenye zama za usawa ambapo mwanamke kapewa uhuru na access zote za kutafuta maisha na tumeshuhudia kwenye jamii wanawake wengi wamefanikiwa kiuchumi zaidi ya wanaume, kwaiyo atakaekua na uwezo zaidi basi ainue living standard ya mwenzake bila kujali kigezo cha jinsia
 
Kuna msemo unasema mwanaume atakula kwa jasho...Nako kamekaa kiunafiki ivi
Ipo misemo mingi tu mkuu. "Wanaume tumeumbwa mateso", "kitanda hakizai haramu" n.k. yaani niubebe mzigo ambao naweza kuachana nao kisa mimi ni mwanaume.! yaani mwanamke afanye umalaya wake huko nilee mtoto sio wangu eti kitanda hakizai haramu.! hell noooo
 
Kama hana shughuli yoyote na umempenda akiwa hivyo unategemea atoe nini kukupa wewe?
 
Ulichokiongea "no sex before marriage" ni kitu sahihi, ila umekiweka kwenye mrengo wa kana kwamba, kwenye sex ni mwanaume tu anapata raha, na mwanamke hapati raha yoyote Amehlo
 
Kama hana shughuli yoyote na umempenda akiwa hivyo unategemea atoe nini kukupa wewe?
Mawazo, ushauri, taarifa za michongo ambayo anaona naweza kuifanya, faraja pale siku inapoenda vibaya n.k .. kuna wanawake hawana output yoyote kwenye maisha ya mwanaume wao ni kutaka matunzo tu na kumbebesha mwanaume gharama za tamaa zake za kufukuzana na fashion za nguo na matoleo mapya ya smartphone mbaya zaidi wanafikiri ni haki yao ya lazima kupewa hayo.
 
Mwanaume gani saivi anakubali kuwa na mahusiano bila ya sex kiufupi hamkubalii mnataka kula sasa hakuna wa kuliwa bure yaani hata hela ya kusuka asipewe

Hatutaki pesa nyingi ila tunataka huduma ndogondogo

Halafu suala la sex kwa mwanamke wala sio kipaumbele hata miaka 10 tunakaa bila kusex nyie ndio hua mnalazimisha hiyo sex kwa kuanza kutuitaita majumbani mwenu

Fanya hii zoezi tafuta binti alietulia date nae usizungumze suala la sex wala usimpe hela huone Kama atakuomba umuhudumie…

Mimi nishaachwa na wanaume 5 wote nilikataa sex kwao na sikuwai kuwaomba hata mia mbovu

Kiufupi nyie ndio mnataka sana hiyo sex na Hakuna mwanamke Miaka hii atakubali umle bila kumuhudumia

Kama hutaki kutoa pesa malaya wapo wengi wanajiuza hawana gharama nenda ununue hao

Au kaa na upwiru mpk utakapo oa ndio uhudumie mkeo sio lazima kuwa na mahusiano
 
Ulichokiongea "no sex before marriage" ni kitu sahihi, ila umekiweka kwenye mrengo wa kana kwamba, kwenye sex ni mwanaume tu anapata raha, na mwanamke hapati raha yoyote Amehlo
nyie ndo mnapata raha wanawake kati ya 100 20 ndo wanapata hiyo raha wengine wanafake tu kuwafanya msijiskie vibaya

ndo maana asilimia 80 ya mahusiano mwanaume ndo anae anza kuomba game na sio mwanamke
 
Suala la mwanaume kuanza kuomba sex linatokana na malezi yetu tu waafrika. Sio rahisi mwanamke amwambie mwanaume moja kwa moja kwamba anataka sex isipokua mna indirect ways zenu kuwasilisha hisia then mwanaume ajiongeze na iyo haimaanishi ya kwamba mwanaume ndie muhitaji zaidi ndio maana kuna malalamiko mengi tu ya wanawake kwamba awaridhishwi na wanaume wao ingekua sex kwenu sio kipaumbele mnafanya tu kumpa favor mwanaume basi haya malalamiko yasingekuwepo.

Ninachoongelea mimi sex iwe mutualy pleasure sio determinant factor ya mwanamke kutaka pesa/matunzo kutoka kwa mwanaume. Achana na sex jiulize katika mahusiano yako una variable output ipi, that is what am talking about.
 
nyie ndo mnapata raha wanawake kati ya 100 20 ndo wanapata hiyo raha wengine wanafake tu kuwafanya msijiskie vibaya

ndo maana asilimia 80 ya mahusiano mwanaume ndo anae anza kuomba game na sio mwanamke
Unafanya tendo na mwanaume ambae hauna hisia nae umejituliza tu kwake ili uhudumiwe huku katikati ya tendo unawaza atakuachia shilingi ngapi wakati wa kuondoka iyo raha utaipatia wapi.
Tulia na umpendae fanya sex ukiwa umerelax na kuchukulia kama starehe ya kuburudishana tu sio mateso ya ku-demand repairing cost baada ya tendo
 
Mara vipipi🤣
 
Wanaume kuwajibika muhimu lasivyo ndio mnaelekea kubaya..
 
Umepika sana humu mwanangu, natamani nichangie ila kwa leo nitakaa kimya, haha.
 
Ila wewe nae kichwa sana, una mawazo mazuri na very positive. Unaweza hata kumtetea mwizi aliyeiba Tandale asipigwe na wananchi wenye hasira kali.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…