Jinsi wanaume tunavyotapeliwa katika neno "kuwajibika"

Nitarudi
 
Umefanya maamuzi sahihi. Kwenye mahusiano kuna kusaidiana tatizo wanawake wamekalili kwamba katika uko kusaidiana wao ni wapokeaji na wanaume ni watoaji.
 
Nafikiri ulikataa ku-sex na hao wanaume kwasababu walikuwa hawana muonekano ambao unakuvutia. kadogo2
Tatizo la wanawake wakishaona mtu anataka mahusiano siriaz ndio wanamuwekea ngumu, unakuta hao wanaume watano ni nice guyz ila kawaweka pending kwanza halafu anakitombesha kwa bad boyz mpaka atakapokua demaged na umri ushaenda ndio awageikie nice guys wampe tulizo la ndoa, sasa kwanini wakaka wa watu wasimpige chini? Mwanamke akatae sex kwa sababu za kiimani au kimaadili na kweli awe anaishi kwa misingi ya imani/maadili. Sio gumegume alitaki sex mpaka ndoa halafu halina bikira na wakati wote linamsubirisha mwanaume kwa ilo sharti la ndoa lenyewe linaendelea kukitombesha kawa kawaida, huo ni uhuni.
 
Exactly!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…