Jinsi "wasaliti " wanavyoula CCM, huku wafia chama wakitoswa

Mbona unakufuru Mungu kwa kumpa shetani utukufu wake ?
 
Mkuu kwa watu wa ccm maisha yao ni sawa na "KUPE', ' Ng'ombe anachinjwa KUPE hana habari, Ngozi inachunwa KUPE hana habari, Ngozi inawambwa KUPE hana habari ILA Ngozi inapoanza kukauka ndio KUPE anastuka'! too late chama kilishabinafsishwa!
 
Kama mlitetea maovu muondoke hamfai kuwepo CCM.CCM ipo ilipo leo kwa sababu ya watu kama ninyi.Hivi hata hamuoni aibu kusema mlikifia chama,mlikifia kwa lipi hasa,wakati chama kimejaa wezi,wahuni na mafisadi.Shame on you.
 
mmmh!
Lakini si hata CDM nako EDO alipata nafasi ya kugombea u presidia matokeo yake Slaa akatoswa?
Au hata hiyo nafasi ya Sumaye Pwani kwani hakuna watu wa CDM waliokitumikia muda mrefu wangefaa?
Kwani wanaliona hili wao?
 
Hata hiyo Chadema ina wenyewe wameinunua kama kanga na sasa wanaitumia, Lowassa alipataje ile nafasi hivi alaf na lile kubwa la wajinga( Sumayee) nae alipataje nafasi Pwani, vp yule Mwenezi na Itikadi daah
Chadema iko tayari kushirikiana na yeyote atakayetoa mchango wowote wa kusaidia kumng'oa shetani
 
mmmh!
Lakini si hata CDM nako EDO alipata nafasi ya kugombea u presidia matokeo yake Slaa akatoswa?
Au hata hiyo nafasi ya Sumaye Pwani kwani hakuna watu wa CDM waliokitumikia muda mrefu wangefaa?
Hapo ndo siwaelewagi watenda makosa... YAANI MTU ANAHALALISHA KOSA LAKE, KWA KUTUMIA KOSA LA MWINGINE..!!!???
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…