Jinsi "wasaliti " wanavyoula CCM, huku wafia chama wakitoswa

Mbona kuna watu bado wanaiona CHADEMA lulu hata baada ya kuusaliti UMMA 2015 kwa kukubali dili la maCCM?
Na waliopiga lile dili ndo leo mmoja kapewa uwenyekiti na mwenzake umakamu mwenyekiti.
 
Hiki ndiyo kinatuumiza sana ndani ya ccm. Malipo ya jasho letu ndiyo yawe kuwaachia majimbo walioasi vyama vyao??? Hii ni sawa na kupata mgeni halafu wenyeji mnamuachia chumba na kuamua kulala sebuleni.
 
Mbona kuna watu bado wanaiona CHADEMA lulu hata baada ya kuusaliti UMMA 2015 kwa kukubali dili la maCCM?
Na waliopiga lile dili ndo leo mmoja kapewa uwenyekiti na mwenzake umakamu mwenyekiti.
Nje ya mada
 

Kama uko ccm kutafuta cheo au uteuzi utalia tu. Wengine tunapigania itikadi tu. Ccm ikitetetereka tunaiponda bila huruma. Msimamo wa magufuli ndio umetukosha na huenda tukaanza kuiponda ccm ya samia. Kwa sasa tunaisanifu kuona kama inafuata njia ya kimapinduzi au inatekwa na oppurtunists wapenda ukuu na wapinga maendeleo.
 
Na bado !
 
Sijui kama wamekuelewa. Akili zao ni duni sana.
 
Sijui kama wamekuelewa. Akili zao ni duni sana.
😲
Wanaokitetea chama wako wengi ...sasa wateuliwe wote jameni ?!!!

Ikumbukwe kila anayeteuliwa ni pia kwa sababu ya ushawishi alionao katika nafasi/kundi/tasnia fulani kipindi mahsusi....

Let say Kihongosi ni msanii pia ila labda wameona wamteua Niki Wa Pili kwa "kipindi hiki"......

Mfano Chopa Mchopanga naye ndani....huyo ni msanii pia.....

Teuzi zinagusa kila "HAIBA".....
 
Wacha wivu. Maendeleo hayana vyama. Kama na wewe unatamani hizo teuzi hama kutokà hiyo sacos!
 
Sijamuona Wema, sijui huyu dada anafeli wapi wenzake wote wanagawiwa vyeo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…