Jinsi "wasaliti " wanavyoula CCM, huku wafia chama wakitoswa

Hata hiyo Chadema ina wenyewe wameinunua kama kanga na sasa wanaitumia, Lowassa alipataje ile nafasi hivi alaf na lile kubwa la wajinga( Sumayee) nae alipataje nafasi Pwani, vp yule Mwenezi na Itikadi daah
Nitajie faida 2 tu za uongo ulizozipata tangu uanze kuwaongopea watu .
 
Hili liwe angalizo kwa vijana wa CCM wanaokesha mitandaoni kutetea wanachokiita chama chao, lakini kumbe chama kina wenyewe.

Sasa ni dhahiri kwamba watu ambao kwa miaka mingi wameiponda CCM hadharani na gizani ndio wanaoteuliwa kushika vyeo ndani ya serikali, huku wanaojiita wafia chama wakipuuzwa na kuonekana vilaza.

Juliana Shonza, Kitilla Mkumbo, Augustino Mrema , Anna Mughwira, Mtella Mwampamba, Humphrey Polepole ni baadhi ya majina machache tu ya walioiponda ccm kwa miaka mingi, lakini wakaonekana lulu baada ya kusaliti walikotoka.

Ndugu yangu unayejifanya CCM ni yako kiasi cha kutetea hata maovu, huu ni wakati wa kujitafakari nafasi yako ndani ya CCM , The time is now.

Majuto ni mjukuu.
Ila wengi wao wameanza kujitambua ndio maana hata mapovu yao mitandaoni yamepungua kwa asilimia kubwa mno
 
mmmh!
Lakini si hata CDM nako EDO alipata nafasi ya kugombea u presidia matokeo yake Slaa akatoswa?
Au hata hiyo nafasi ya Sumaye Pwani kwani hakuna watu wa CDM waliokitumikia muda mrefu wangefaa?
Kwa maana hiyo CCM inaiga kila kinachofanywa na CHADEMA !?
 
Hili liwe angalizo kwa vijana wa CCM wanaokesha mitandaoni kutetea wanachokiita chama chao, lakini kumbe chama kina wenyewe.

Sasa ni dhahiri kwamba watu ambao kwa miaka mingi wameiponda CCM hadharani na gizani ndio wanaoteuliwa kushika vyeo ndani ya serikali, huku wanaojiita wafia chama wakipuuzwa na kuonekana vilaza.

Juliana Shonza, Kitilla Mkumbo, Augustino Mrema , Anna Mughwira, Mtella Mwampamba, Humphrey Polepole ni baadhi ya majina machache tu ya walioiponda ccm kwa miaka mingi, lakini wakaonekana lulu baada ya kusaliti walikotoka.

Ndugu yangu unayejifanya CCM ni yako kiasi cha kutetea hata maovu, huu ni wakati wa kujitafakari nafasi yako ndani ya CCM , The time is now.

Majuto ni mjukuu.
Kwa hiyo unaamini hao ndio wamejaza nafasi zote za serikalini na ndani ya Chama? Kijana wigo wa uongozi ktk serikali na chama ni mpana sana ndio maana kwa nchi nyingine kama Israel hulazimu kushirikiana na vyama vingine ili kujaza ombwe la uongozi wa serikali.ndugu Hao uliowaja ni 'insiginificant percentage'
 
Huoni hata aibu? Lowassa mliyemtukana miaka yote kuwa ni FISADI mlithubutuje kumpa nafasi ya kugombea urais? Tupe hata clip moja JULIANA SHONZA akiitukana CCM,
 
Kosa takatifu walllofanya CHADEMA ni kumuuzia Lowassa Chama, watasimama wapi wafiche aibu zao waanze kusema. Akina SHONZA waliitukana CCM?
 
Kwa hiyo unaamini hao ndio wamejaza nafasi zote za serikalini na ndani ya Chama? Kijana wigo wa uongozi ktk serikali na chama ni mpana sana ndio maana kwa nchi nyingine kama Israel hulazimu kushirikiana na vyama vingine ili kujaza ombwe la uongozi wa serikali.ndugu Hao uliowaja ni 'insiginificant percentage'
Lipumba sasa hivi analindwa na kula raha kuliko Kinana .
 
Huoni hata aibu? Lowassa mliyemtukana miaka yote kuwa ni FISADI mlithubutuje kumpa nafasi ya kugombea urais? Tupe hata clip moja JULIANA SHONZA akiitukana CCM,
Ukiwekewa uko tayari kwa lolote ?
 
Mkuu wewe ni miongoni mwa wadau ninao waelewa sana

Ila unatatizo la kusahau kuwa Jana ulisema nini

Umekuwa ni mtu amabae huwa unaishi kwa visasi na kulaumu kuliko kutupa mikakati namna ya kupambana na hao unao waona hawatakiwi kuwepo hapo

Naamini hata wewe unakesha kuitetea chadema na ni wajibu wako kuitetea

Unakumbukumbu kuwa selikari ni Mali ya watanzani sio Mali ya ccm je hao walio sio watanzania
 
Hili liwe angalizo kwa vijana wa CCM wanaokesha mitandaoni kutetea wanachokiita chama chao, lakini kumbe chama kina wenyewe.
Achana na ramli chonganishi.
Mwana ccm kindaki ndaki kama mie siwezi kuwaza cheo hata siku moja,kazi yangu ni kupigania chama.
Mambo ya kupigania chama huku ukiwaza cheo waachie kina Nape
 
Mkuu wewe ni miongoni mwa wadau ninao waelewa sana

Ila unatatizo la kusahau kuwa Jana ulisema nini

Umekuwa ni mtu amabae huwa unaishi kwa visasi na kulaumu kuliko kutupa mikakati namna ya kupambana na hao unao waona hawatakiwi kuwepo hapo

Naamini hata wewe unakesha kuitetea chadema na ni wajibu wako kuitetea

Unakumbukumbu kuwa selikari ni Mali ya watanzani sio Mali ya ccm je hao walio sio watanzania
Sijawahi kumlipia kisasi mtu yeyote , na wala sina uwezo huo , lengo langu ni kuwastua waliolala kama alivyolala Nape kwa kuamini kwamba ccm ni chama chao .
 
Back
Top Bottom