Kwani una uchungu sana na wana ccm mkuu?Sijawahi kumlipia kisasi mtu yeyote , na wala sina uwezo huo , lengo langu ni kuwastua waliolala kama alivyolala Nape kwa kuamini kwamba ccm ni chama chao .
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwani una uchungu sana na wana ccm mkuu?Sijawahi kumlipia kisasi mtu yeyote , na wala sina uwezo huo , lengo langu ni kuwastua waliolala kama alivyolala Nape kwa kuamini kwamba ccm ni chama chao .
Sawa mkuu hivi tangu lini MTU anae taka nafasi yako akakupa taarifa kuwa unatakiwa kushushwa cheoSijawahi kumlipia kisasi mtu yeyote , na wala sina uwezo huo , lengo langu ni kuwastua waliolala kama alivyolala Nape kwa kuamini kwamba ccm ni chama chao .
Shukran kwa kupost mawazo yangu.Wakati Slaa na mkewe wakichezea vitasa Arusha mwaka 2011, Lowassa alikuwa anakula bata pamoja na kujisafisha na tuhuma za ufisadi zilizochochewa na CHADEMA.mmmh!
Lakini si hata CDM nako EDO alipata nafasi ya kugombea u presidia matokeo yake Slaa akatoswa?
Au hata hiyo nafasi ya Sumaye Pwani kwani hakuna watu wa CDM waliokitumikia muda mrefu wangefaa?
BAVICHA ndiyo inayotambulika. Na Kati yenu nyie na Juliana Shonza ni nani anayetambulika Ikulu?Kati ya BAVICHA na Team Ulipo Tupo ni akina nani wanaofahamika leo ndani ya CHADEMA?
Taarifa zinaonyesha kwamba Bavicha ndio taasisi pekee ya vijana inayotamba kwenye eneo la maziwa makuu .BAVICHA ndiyo inayotambulika. Na Kati yenu nyie na Juliana Shonza ni nani anayetambulika Ikulu?
Hili liwe angalizo kwa vijana wa CCM wanaokesha mitandaoni kutetea wanachokiita chama chao, lakini kumbe chama kina wenyewe.
Sasa ni dhahiri kwamba watu ambao kwa miaka mingi wameiponda CCM hadharani na gizani ndio wanaoteuliwa kushika vyeo ndani ya serikali, huku wanaojiita wafia chama wakipuuzwa na kuonekana vilaza.
Juliana Shonza, Kitilla Mkumbo, Augustino Mrema , Anna Mughwira, Mtella Mwampamba, Humphrey Polepole ni baadhi ya majina machache tu ya walioiponda ccm kwa miaka mingi, lakini wakaonekana lulu baada ya kusaliti walikotoka.
Ndugu yangu unayejifanya CCM ni yako kiasi cha kutetea hata maovu, huu ni wakati wa kujitafakari nafasi yako ndani ya CCM , The time is now.
Majuto ni mjukuu.
hao unaowasema wamehamia CDM wamepata nafasi hizo kwa kupigiwa kura na hawana mishahara, lakini kina Mghwira, Shonza, Kitila nk wamepewa tu kwa kutunukiwa nafasi hizo na zina maslahi makubwa! maskini wafia chama wa CCM, dah!mmmh!
Lakini si hata CDM nako EDO alipata nafasi ya kugombea u presidia matokeo yake Slaa akatoswa?
Au hata hiyo nafasi ya Sumaye Pwani kwani hakuna watu wa CDM waliokitumikia muda mrefu wangefaa?
Kwi! Kwi! Kwi! Mpende jirani yako .Kwani una uchungu sana na wana ccm mkuu?
Lizaboni na wenzie waliajiriwa na nape so baada ya bosi wao kutumbuka wamepoteana!Lizaboni na kundi lake wameamua kujiondokea zao .
Kama Lowasa alivyowafanya ChademaHapa Iringa aliyekuwa diwani kupitia CHADEMA Baraka kimata ndiye amependekezwa kuwania tena kiti hicho kupitia CCM huku wana CCM damu wakigeuzwa wapiga debe kwa ujira wa T-shirt na kofia!
Mbona unaweweseka au na wewe ni mfia chama ?Na Kuna yule mama alikua katibu wa wizara ya Utumishi, ajawai hata kuitukana CCM ila alipewa viti maalum na Lowasa, pia na yule aliekua katibu wa Chama cha mapinduzi, Manyara, amepewa Ubunge viti maalum Chadema
Jikite kwenye hoja , wewe ni mfia chama lakini umetupwa kule kachukuliwa Lipumba !Kila mtu na kazi yake, kama kigezo ni kupigania chama basi ni wengi tu humu jf wangekua mawaziri leo hii. Leo hii yericko angekua mbunge wa kuteuliwa kwa jinsi anavyo pambana humu jf.
Usiongeeee hvyooo mkuu upande ule upo perfect .........[emoji126]naenda malawimmmh!
Lakini si hata CDM nako EDO alipata nafasi ya kugombea u presidia matokeo yake Slaa akatoswa?
Au hata hiyo nafasi ya Sumaye Pwani kwani hakuna watu wa CDM waliokitumikia muda mrefu wangefaa?