Jinsi "wasaliti " wanavyoula CCM, huku wafia chama wakitoswa

Jinsi "wasaliti " wanavyoula CCM, huku wafia chama wakitoswa

Juliana Shonza, Kitilla Mkumbo, Augustino Mrema , Anna Mughwira, Mtella Mwampamba, Humphrey Polepole ni baadhi ya majina machache tu ya walioiponda ccm kwa miaka mingi, lakini wakaonekana lulu baada ya kusaliti walikotoka.

Kubwa ya yote ni Dr, Slaa kuwa balozi wa kuiwakilisha Tz. Dah! Mpinzani kurudi ccm ni dili kubwa sana.
 
Sidhani kama kuwateua upinzani, tena walioondoka miaka nenda rudi kutaifanya CDM ife, sidhani! Sidhani kama wafia chama wanafurahi "wakuja" wanapata vyeo wao wapo wanasota!
 
Hata wakina lowasa walipewa vyeo huko wakati wafia vyama wanasota.
Mkuki kwa nguruwe.
 
Natubu kuzaliwa!
Kweli amedhamilia kuua upinzania, lakini sidhani, kuna wenye akili wanaona huo ni ushamba! Wote hawatakuwa kama Slaa, Masha, kafulila etc
Upinzani hawezi kuua abadani!!
 
Hapa Iringa aliyekuwa diwani kupitia CHADEMA Baraka kimata ndiye amependekezwa kuwania tena kiti hicho kupitia CCM huku wana CCM damu wakigeuzwa wapiga debe kwa ujira wa T-shirt na kofia!

Halafu CCM hawana shukrani kabisa kwa wafia chama wao!!
SHETANI HANAGA SHUKURANI WALA RAFIKI.
 
Hata hiyo Chadema ina wenyewe wameinunua kama kanga na sasa wanaitumia, Lowassa alipataje ile nafasi hivi alaf na lile kubwa la wajinga( Sumayee) nae alipataje nafasi Pwani, vp yule Mwenezi na Itikadi daah
Hujambo Mkuu!!! CCM oyeeeeeeee!!
 
Hili liwe angalizo kwa vijana wa CCM wanaokesha mitandaoni kutetea wanachokiita chama chao, lakini kumbe chama kina wenyewe.

Sasa ni dhahiri kwamba watu ambao kwa miaka mingi wameiponda CCM hadharani na gizani ndio wanaoteuliwa kushika vyeo ndani ya serikali, huku wanaojiita wafia chama wakipuuzwa na kuonekana vilaza.

Juliana Shonza, Kitilla Mkumbo, Augustino Mrema , Anna Mughwira, Mtella Mwampamba, Humphrey Polepole ni baadhi ya majina machache tu ya walioiponda ccm kwa miaka mingi, lakini wakaonekana lulu baada ya kusaliti walikotoka.

Ndugu yangu unayejifanya CCM ni yako kiasi cha kutetea hata maovu, huu ni wakati wa kujitafakari nafasi yako ndani ya CCM , The time is now.

Majuto ni mjukuu.
KWELI WAHENGA HAWAKUKOSEA WALIPOSEMA NYANI HAONI KUNDULE.
LOWASSA ILIMCHUKUA MASAA MANGAPI KUPEWA TIKETI YA KUGOMBEA URAIS KUPITIA UKAWA AKITOKEA SISIEMU NA KUWAACHA WAPIGANIA CHAMA?
KUNA VITU HAMNA MORAL AUTHORITY YA KUVIONHELEA NA KUVIKOSOA.
Hili liwe angalizo kwa vijana wa CCM wanaokesha mitandaoni kutetea wanachokiita chama chao, lakini kumbe chama kina wenyewe.

Sasa ni dhahiri kwamba watu ambao kwa miaka mingi wameiponda CCM hadharani na gizani ndio wanaoteuliwa kushika vyeo ndani ya serikali, huku wanaojiita wafia chama wakipuuzwa na kuonekana vilaza.

Juliana Shonza, Kitilla Mkumbo, Augustino Mrema , Anna Mughwira, Mtella Mwampamba, Humphrey Polepole ni baadhi ya majina machache tu ya walioiponda ccm kwa miaka mingi, lakini wakaonekana lulu baada ya kusaliti walikotoka.

Ndugu yangu unayejifanya CCM ni yako kiasi cha kutetea hata maovu, huu ni wakati wa kujitafakari nafasi yako ndani ya CCM , The time is now.

Majuto ni mjukuu.
 
Yaani Polepole alivyokuwa anashambulia wakati wa harakati za katiba mpya leo usingeamini kuwa amekuwa msemaji wa waliovuruga zoezi la katiba mpya. Wakati ule walikuwa wakifanya makongamano na mzee Warioba mpaka akamponza mwenzake akachapwa na dab leo anaramba matapishi yake.
 
Back
Top Bottom