Jinsi "wasaliti " wanavyoula CCM, huku wafia chama wakitoswa

Hili liwe angalizo kwa vijana wa CCM wanaokesha mitandaoni kutetea wanachokiita chama chao, lakini kumbe chama kina wenyewe.

Sasa ni dhahiri kwamba watu ambao kwa miaka mingi wameiponda CCM hadharani na gizani ndio wanaoteuliwa kushika vyeo ndani ya serikali, huku wanaojiita wafia chama wakipuuzwa na kuonekana vilaza.

Juliana Shonza, Kitilla Mkumbo, Augustino Mrema , Anna Mughwira, Mtella Mwampamba, Humphrey Polepole ni baadhi ya majina machache tu ya walioiponda ccm kwa miaka mingi, lakini wakaonekana lulu baada ya kusaliti walikotoka.

Ndugu yangu unayejifanya CCM ni yako kiasi cha kutetea hata maovu, huu ni wakati wa kujitafakari nafasi yako ndani ya CCM , The time is now.

Majuto ni mjukuu.
Hii ni post ya kipumbavu na kilofa kwa wiki hii. Hao uliowataja wamesaliti nini? UKAWA ndio waliwasaliti wanamageuzi wa kweli kwa kumpokea waliyemtangaza fisadi kwa miaka 8 na kulamba viatu vyake wakijidadanya watakwenda Ikulu.
 
Ndio mana sipendagi shabikia siasa. Nahisi wanatafuta rizki kama mi ninavyohangaika kutafta rizki. They are not real at all. Utaona mtu anapondaa chama flani kesho anapewa cheo hichohicho chama hakatai anabadili. Argh hawawezi nipata asee.
 
Inasikitisha na inatukatisha tamaa.
CCM hii wengine tulijitoa kwa hali na mali kuhakikisha Chama kinashika usukani.tunashangaa kwa sasa wa upande wa pili ambao nathubutu kusema hawana mapenzi ya dhati na Chama chetu bali ni 'njaa" zao ndio wanaonekana wa maana.
Mimi kama mwana CCM jambo hili linaniumiza sana.

Nahitaji kujitafakari upya katika safari yangu ya kisiasa ndani ya hiki Chama.
Njoo kwanza upinzani hata kina Slaa mwanzo walikuwa CCM ukishaingia upinzani iponde sana CCM baada ya mwaka mmoja omba kurudi CCM huku ukipongeza sera ya viwanda am sure utapokelewa ikulu na rais na kupangiwa uRAS au uDC.
 
Hili liwe angalizo kwa vijana wa CCM wanaokesha mitandaoni kutetea wanachokiita chama chao, lakini kumbe chama kina wenyewe.

Sasa ni dhahiri kwamba watu ambao kwa miaka mingi wameiponda CCM hadharani na gizani ndio wanaoteuliwa kushika vyeo ndani ya serikali, huku wanaojiita wafia chama wakipuuzwa na kuonekana vilaza.

Juliana Shonza, Kitilla Mkumbo, Augustino Mrema , Anna Mughwira, Mtella Mwampamba, Humphrey Polepole ni baadhi ya majina machache tu ya walioiponda ccm kwa miaka mingi, lakini wakaonekana lulu baada ya kusaliti walikotoka.

Ndugu yangu unayejifanya CCM ni yako kiasi cha kutetea hata maovu, huu ni wakati wa kujitafakari nafasi yako ndani ya CCM , The time is now.

Majuto ni mjukuu.
Aliyekuambia ni wasaliti ni nani.Kalagabaho.
They might have delivered more than you.
 
Ila hata mimi limeniuma, kila siku Nakitetea chama fb na mitandao mingine ila nafasi wanapata watu waliokua wanakiponda chama na wamehamia hivi karibuni. Ngoja uone kama hawa jamaa waliohamia juzi kama hawatapata nafasi zile za u dc na ukurugenzi wakati watoto watiifu tupo
 
Njoo kwanza upinzani hata kina Slaa mwanzo walikuwa CCM ukishaingia upinzani iponde sana CCM baada ya mwaka mmoja omba kurudi CCM huku ukipongeza sera ya viwanda am sure utapokelewa ikulu na rais na kupangiwa uRAS au uDC.
Kabisa mkuu !
 
Hii ni post ya kipumbavu na kilofa kwa wiki hii. Hao uliowataja wamesaliti nini? UKAWA ndio waliwasaliti wanamageuzi wa kweli kwa kumpokea waliyemtangaza fisadi kwa miaka 8 na kulamba viatu vyake wakijidadanya watakwenda Ikulu.
Mwenzako Lizaboni kaamua kujitoa mitandaoni .
 
Hili liwe angalizo kwa vijana wa CCM wanaokesha mitandaoni kutetea wanachokiita chama chao, lakini kumbe chama kina wenyewe.

Sasa ni dhahiri kwamba watu ambao kwa miaka mingi wameiponda CCM hadharani na gizani ndio wanaoteuliwa kushika vyeo ndani ya serikali, huku wanaojiita wafia chama wakipuuzwa na kuonekana vilaza.

Juliana Shonza, Kitilla Mkumbo, Augustino Mrema , Anna Mughwira, Mtella Mwampamba, Humphrey Polepole ni baadhi ya majina machache tu ya walioiponda ccm kwa miaka mingi, lakini wakaonekana lulu baada ya kusaliti walikotoka.

Ndugu yangu unayejifanya CCM ni yako kiasi cha kutetea hata maovu, huu ni wakati wa kujitafakari nafasi yako ndani ya CCM , The time is now.

Majuto ni mjukuu.
Nadhani hapo andiko lako halijamuacha salama
bwana bao la mkono.
 
Kuna kajamaa kalijifanya kenyewe ni ka CCM damu yaani kafia chama; kakagusa sehemu haigusiki aisee kakarushwa kulee chali mchezo; ila bado kamo tu wakati wameshakaonya kawe kimya hakasikii siku watakapokonya kadi yao ndiyo katatia akili
 
Mgeni anapewa mnofu wenyeji wanaendelea kula vipapatio, makanyagio, utumbo na vichwa

Ningependa kusikia ya moyoni kutoka kwa wasotea chama waliokipigania chama kabla, wakati na baada ya uchaguzi ambao bado hawajateuliwa katika ngazi yoyote ile huku wapinzani ambao muda wao wote wamekuwa wakikiponda chama wanateuliwa na kupewa minofu mitamumitamu..

Hata kama wewe sio msotea chama ila umepata nafasi ya kuwasikiliza mkiwa either private au public nini mtazamo wao na wanajisikiaje

Ni kasumba ya mwanadamu ambaye analipigania jambo fulani baada ya kufanikiwa hupenda kuwa sehemu ya wanufaika hata kama amesahaulika... Anaweza akacheka na kuunga mkono maamuzi hadharani lakini ukimtazama sana kwa umakini unaweza kuona hisia zake, matendo yake, sura yake haviendani na kile anachokikubali hadharani..

Narudia tena ningependa kusikia ya moyoni kutoka kwenu either umemshuhudia au wewe mwenyewe ukiwa kama msotea chama uliyefungiwa milango nini maoni yako
Picsart2017-23-11--23-53-05.png
Picsart2017-24-11--00-06-01.png
 
Yeah inauma sana ni kama vile slaa na adui yake Lowasa mchezo ulivyombadilikia Dr slaa
 
una maanisha na una promote wanachama wawe wasaka vyeo sio? sasa si unaona wa huku wanaenda kule, wa kule wanaenda huku!!
 
Back
Top Bottom