Jinsi "wasaliti " wanavyoula CCM, huku wafia chama wakitoswa

Jinsi "wasaliti " wanavyoula CCM, huku wafia chama wakitoswa

Kweli hata mimi nakuuga mkono ccm babalao wegi tutakufanayo heli kufa katka nyumba yabati kuliko mtini
 
Kila mtu na kazi yake, kama kigezo ni kupigania chama basi ni wengi tu humu jf wangekua mawaziri leo hii. Leo hii yericko angekua mbunge wa kuteuliwa kwa jinsi anavyo pambana humu jf.
Hakika umenena, hata Ben saa nane alitoswa
 
Hata hiyo Chadema ina wenyewe wameinunua kama kanga na sasa wanaitumia, Lowassa alipataje ile nafasi hivi alaf na lile kubwa la wajinga( Sumayee) nae alipataje nafasi Pwani, vp yule Mwenezi na Itikadi daah
Lakini hawa huwezi kuwalinganisha na kina mwigamba et al Chadema ilichukua assets na si liability na matokeo tuliyaona kwenye uchaguzi mkuu, kama lisingekuwa bao la mkono kutoka kwa akina masikini Nape na January ccm ingekuwa upande wa pili sasa hivi.
 
Kifupi vyama tusivisujudu saana maana havina mdhamana, tuangalie nchi
 
Sasa kama nchi wanadhani ni ya kwao tu tufanyeje ?
Mkate wa kila siku inawasumbua unadhani wanaokota makombo si ndio washindao humu na kuwaandikia mabwana zao. Wananchi tuwe neutral tu tubadilike kulingana na maslahi maana ya nchi
 
Inasikitisha na inatukatisha tamaa.
CCM hii wengine tulijitoa kwa hali na mali kuhakikisha Chama kinashika usukani.tunashangaa kwa sasa wa upande wa pili ambao nathubutu kusema hawana mapenzi ya dhati na Chama chetu bali ni 'njaa" zao ndio wanaonekana wa maana.
Mimi kama mwana CCM jambo hili linaniumiza sana.

Nahitaji kujitafakari upya katika safari yangu ya kisiasa ndani ya hiki Chama.
 
Back
Top Bottom