Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
- Thread starter
-
- #21
Nitajie faida 2 tu za uongo ulizozipata tangu uanze kuwaongopea watu .Hata hiyo Chadema ina wenyewe wameinunua kama kanga na sasa wanaitumia, Lowassa alipataje ile nafasi hivi alaf na lile kubwa la wajinga( Sumayee) nae alipataje nafasi Pwani, vp yule Mwenezi na Itikadi daah
Nauliza tu hivi lowasa aligombea urais 2015 kwa chama cha chadema?Nitajie faida 2 tu za uongo ulizozipata tangu uanze kuwaongopea watu .
Ila wengi wao wameanza kujitambua ndio maana hata mapovu yao mitandaoni yamepungua kwa asilimia kubwa mnoHili liwe angalizo kwa vijana wa CCM wanaokesha mitandaoni kutetea wanachokiita chama chao, lakini kumbe chama kina wenyewe.
Sasa ni dhahiri kwamba watu ambao kwa miaka mingi wameiponda CCM hadharani na gizani ndio wanaoteuliwa kushika vyeo ndani ya serikali, huku wanaojiita wafia chama wakipuuzwa na kuonekana vilaza.
Juliana Shonza, Kitilla Mkumbo, Augustino Mrema , Anna Mughwira, Mtella Mwampamba, Humphrey Polepole ni baadhi ya majina machache tu ya walioiponda ccm kwa miaka mingi, lakini wakaonekana lulu baada ya kusaliti walikotoka.
Ndugu yangu unayejifanya CCM ni yako kiasi cha kutetea hata maovu, huu ni wakati wa kujitafakari nafasi yako ndani ya CCM , The time is now.
Majuto ni mjukuu.
Swali bovu kabisa !Nauliza tu hivi lowasa aligombea urais 2015 kwa chama cha chadema?
Kwa maana hiyo CCM inaiga kila kinachofanywa na CHADEMA !?mmmh!
Lakini si hata CDM nako EDO alipata nafasi ya kugombea u presidia matokeo yake Slaa akatoswa?
Au hata hiyo nafasi ya Sumaye Pwani kwani hakuna watu wa CDM waliokitumikia muda mrefu wangefaa?
Kwa hiyo unaamini hao ndio wamejaza nafasi zote za serikalini na ndani ya Chama? Kijana wigo wa uongozi ktk serikali na chama ni mpana sana ndio maana kwa nchi nyingine kama Israel hulazimu kushirikiana na vyama vingine ili kujaza ombwe la uongozi wa serikali.ndugu Hao uliowaja ni 'insiginificant percentage'Hili liwe angalizo kwa vijana wa CCM wanaokesha mitandaoni kutetea wanachokiita chama chao, lakini kumbe chama kina wenyewe.
Sasa ni dhahiri kwamba watu ambao kwa miaka mingi wameiponda CCM hadharani na gizani ndio wanaoteuliwa kushika vyeo ndani ya serikali, huku wanaojiita wafia chama wakipuuzwa na kuonekana vilaza.
Juliana Shonza, Kitilla Mkumbo, Augustino Mrema , Anna Mughwira, Mtella Mwampamba, Humphrey Polepole ni baadhi ya majina machache tu ya walioiponda ccm kwa miaka mingi, lakini wakaonekana lulu baada ya kusaliti walikotoka.
Ndugu yangu unayejifanya CCM ni yako kiasi cha kutetea hata maovu, huu ni wakati wa kujitafakari nafasi yako ndani ya CCM , The time is now.
Majuto ni mjukuu.
Kosa takatifu walllofanya CHADEMA ni kumuuzia Lowassa Chama, watasimama wapi wafiche aibu zao waanze kusema. Akina SHONZA waliitukana CCM?Kwa hiyo unaamini hao ndio wamejaza nafasi zote za serikalini na ndani ya Chama? Kijana wigo wa uongozi ktk serikali na chama ni mpana sana ndio maana kwa nchi nyingine kama Israel hulazimu kushirikiana na vyama vingine ili kujaza ombwe la uongozi wa serikali.ndugu Hao uliowaja ni 'insiginificant percentage'
Lipumba sasa hivi analindwa na kula raha kuliko Kinana .Kwa hiyo unaamini hao ndio wamejaza nafasi zote za serikalini na ndani ya Chama? Kijana wigo wa uongozi ktk serikali na chama ni mpana sana ndio maana kwa nchi nyingine kama Israel hulazimu kushirikiana na vyama vingine ili kujaza ombwe la uongozi wa serikali.ndugu Hao uliowaja ni 'insiginificant percentage'
Hayo ni maneno yenu vijana wa UFIPA humu mitandaoni, CCM hawawezi kuiga ujinga wa CHADEM.Kwa maana hiyo CCM inaiga kila kinachofanywa na CHADEMA !?
Ukiwekewa uko tayari kwa lolote ?Huoni hata aibu? Lowassa mliyemtukana miaka yote kuwa ni FISADI mlithubutuje kumpa nafasi ya kugombea urais? Tupe hata clip moja JULIANA SHONZA akiitukana CCM,
Kati ya BAVICHA na Team Ulipo Tupo ni akina nani wanaofahamika leo ndani ya CHADEMA?CCM damu wanadhalilishwa kama tambala la deki!
Lowasa alishinda urais ingawa hakutangazwa.Hata hiyo Chadema ina wenyewe wameinunua kama kanga na sasa wanaitumia, Lowassa alipataje ile nafasi hivi alaf na lile kubwa la wajinga( Sumayee) nae alipataje nafasi Pwani, vp yule Mwenezi na Itikadi daah
Achana na ramli chonganishi.Hili liwe angalizo kwa vijana wa CCM wanaokesha mitandaoni kutetea wanachokiita chama chao, lakini kumbe chama kina wenyewe.
Unaandika jinsi unavyotamka,umeharibu kila kituWapambane na hari zao....√√√
"Wewe wasema"Lipumba sasa hivi analindwa na kula raha kuliko Kinana .
Sijawahi kumlipia kisasi mtu yeyote , na wala sina uwezo huo , lengo langu ni kuwastua waliolala kama alivyolala Nape kwa kuamini kwamba ccm ni chama chao .Mkuu wewe ni miongoni mwa wadau ninao waelewa sana
Ila unatatizo la kusahau kuwa Jana ulisema nini
Umekuwa ni mtu amabae huwa unaishi kwa visasi na kulaumu kuliko kutupa mikakati namna ya kupambana na hao unao waona hawatakiwi kuwepo hapo
Naamini hata wewe unakesha kuitetea chadema na ni wajibu wako kuitetea
Unakumbukumbu kuwa selikari ni Mali ya watanzani sio Mali ya ccm je hao walio sio watanzania