Jinsi wenye magari wanavyopigwa na mafundi

Fine, umeamua kumpiga mtu basi angalau usimuharibie gari yake.[emoji818][emoji1545]
 
Ikifika gari imepata ajali na inatakiwa kukaa garage, huwa hakuna ujanja, lakini inategemea na ajalai yenyewe. Uzuri wa bima ukiwa na kubwa pia huwa wanawabana watu wa garage.

Huyo fundi anatakiwa afikishwe polisi hata kama ushahidi hautoshi.
 
Mimi sijaelewa sababu kuu ilikua apate faida gani mkuu.

Umeniogopesha gari yangu nimepeleka garage nimeambiwa siku tatu ndo nikafate, niligonga guta ikaharibika taa na bampa limekatika .. Ni subaru pia na haina pia hata miezi 5

Anakata wire ili baadae ukija kunotice tatizo si utarudi kwake?

Hapo ndio atakupiga hela,

Na asikudanganye mtu, hakuna matatizo magumu kufix kama matatizo ambayo mtu alikaa akalitengeneza, yanasumbua mno....
 
Shida ni kwamba gari iliingia maji, Hivyo wangekuwa na excuse.

Halafu tena gari ya kijapani(Haziko sensitive tatizo linatokea saiv check engine inawaka baadae!!!).

Hata jamaa aliendesha kidogo ndio ikawaka Check engine.

At least gari za mzungu..... The moment unawasha gari utaexperience kitu tofauti.

BMW kakate wire wa Oxygen sensor yoyote, gari kuwaka tu itawaka na misfire. Hapo unaweza kumuwashia mtu moto.
 
Ikifika gari imepata ajali na inatakiwa kukaa garage, huwa hakuna ujanja, lakini inategemea na ajalai yenyewe. Uzuri wa bima ukiwa na kubwa pia huwa wanawabana watu wa garage.

Huyo fundi anatakiwa afikishwe polisi hata kama ushahidi hautoshi.

wapo watu ni waaminifu.

Kiukweli, me mwenyewe kukaa na gari ya mtu siyo kitu napendelea,

Lete gari yako, kaa hapo nikurekebishie, ondoka nayo.

Sifanyi kazi za kushusha engine kwamba itanilazimu gari yako ilale.
 
Sawasawa..
 
Mimi sijaelewa sababu kuu ilikua apate faida gani mkuu.

Umeniogopesha gari yangu nimepeleka garage nimeambiwa siku tatu ndo nikafate, niligonga guta ikaharibika taa na bampa limekatika .. Ni subaru pia na haina pia hata miezi 5
Mie waliwahi kunibadilishia cylinder head ya Nissan Caravan, nilipeleka gari body ikakaa kama wiki 3 hivi.
Siku gari imeenda kufatwa inachemsha njia nzima na wakati haikuwa na huo ugonjwa.

Nikahisi kitu kimefanyika katika kufatilia ndio nikagundua kuna Caravan ilikuwa imeua head na ilikuwa pale kwenye ile garage.

Yani tulirudi pale kama ninja nipo na jamaa zangu wawili. Moja kwa moja hadi kwa mwenye garage tukamkuta anapata lunch.
Bila hata salamu kamata jamaa piga makofi inua kwenye kiti piga mitama na mateke mbona alinyoosha maelezo mwenyewe. [emoji23][emoji23][emoji23]

Kumbe alipewa laki 7 akaamua auze ile head, na alinilipa palepale million 1.2 tokea hapo jamaa ananiogopa sana mpaka leo hii.
 
Thanks
 
Ata kama ungeshinda hapo garage 24hrs usingeweza kujua kama fundi amekata au amechomoa waya..it's impossible. Cha msingi tumia fundi unayemuamini

Kuna watu anapeleka gari kupiga rangi bampa halafu linarudi linamisi halafu anarelax tu....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…