Jinsi ya Ku view status ya Mtu WhatsApp Bila yeye kuona kama umeview

Una mute tu raha mstarehe, ya nini kujikarahisha.
 
Hata official watsup unapata kwenye privacy'
Then unatoa 'read recipients' inakua inatoa tiki za blue inabaki grey na mtu hataona kama umeview status yake
Haha.
tunaendelea vizuri na maisha huku sisi tunaojikuta sana usalama wa taifa..! πŸ˜‚
 
Hua nahisi hata last seen yangu ikionekana ni tatizo nayo imepigwa nobody[emoji38]
Haha..
Same here, na wale raia wa kupost status mpaka zinakuwa nukta, nimewa mute woote.!
 
Hata kwao waki view yangu haionyeshi walio view,napia waweza tuma message nikaisoma isionyeshe blue tick, Wala last seen
Hii inaitwa Mwanaukome
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…