Jinsi ya Ku view status ya Mtu WhatsApp Bila yeye kuona kama umeview

Jinsi ya Ku view status ya Mtu WhatsApp Bila yeye kuona kama umeview

Hata official watsup unapata kwenye privacy'
Then unatoa 'read recipients' inakua inatoa tiki za blue inabaki grey na mtu hataona kama umeview status yake
Haha.
tunaendelea vizuri na maisha huku sisi tunaojikuta sana usalama wa taifa..! 😂
 
Hata kwao waki view yangu haionyeshi walio view,napia waweza tuma message nikaisoma isionyeshe blue tick, Wala last seen
Hii inaitwa Mwanaukome
 
Back
Top Bottom