Jinsi ya kuacha kuvuta sigara (A Guide to Quitting Smoking)

Umetumia njia gani au dawa gani tuambie na sie tujue kama ni kuwasaidia watu wengne iwe rahisi
 
nimekuwa mvutaji mzuri wa sigara kwa muda wa miaka 8,nilikuwa navuta 5 mpaka 6 kwa siku. nilianza kama utani baada ya kuathiriwa na moshi wa wavutaji nami nikasema ngoja nijaribu, baadaye nikafanya kweli na kuwa mvutaji mzuri kuliko hata walionifundisha. sasa nina wilki 3 sijavuta na wala sitaki kunusa hata moshi wake.
nimekwenda hospitali kuangalia afya nimekuta nina afya nzuri pia nimeshauliwa niwe nakunywa maji ya uvugu vugu zaidi ya lita nne kwa siku.
na wewe kama ni mvutaji nakushauri kuanzia sasa acha.

vinavyokatazwa ndivyo vinavyopendwa.

uvutaji wa sigara ni hatari kwa afya yako kama unavuta alafu huli chakula kinachoeleweka.

mkuu niliweka nadhiri ya kuacha na nimefanikiwa ila nikihisi stimu zinakuja nakimbilia kunywa chai ya majani ya wasabato.
 
We acha ila mimi siachi kuvuta ganja mpaka naingia kabulini na nilishawambia machizi wa kitaa changu nikifa wakati wakutupia udongo kwe kabuli langu wao watupie mbegu za bangi.Mi na bangi hadi kifo
 
hahahaha mwenzio sigara b.w.e.g.e niliacha toka 2005 nikiwa form 2.
 
nimekuwa mvutaji mzuri wa sigara kwa muda wa miaka 8,nilikuwa navuta 5 mpaka 6 kwa siku. nilianza kama utani baada ya kuathiriwa na moshi wa wavutaji nami nikasema ngoja nijaribu, baadaye nikafanya kweli na kuwa mvutaji mzuri kuliko hata walionifundisha. sasa nina wilki 3 sijavuta na wala sitaki kunusa hata moshi wake.
nimekwenda hospitali kuangalia afya nimekuta nina afya nzuri pia nimeshauliwa niwe nakunywa maji ya uvugu vugu zaidi ya lita nne kwa siku.
na wewe kama ni mvutaji nakushauri kuanzia sasa acha.

vinavyokatazwa ndivyo vinavyopendwa.

uvutaji wa sigara ni hatari kwa afya yako kama unavuta alafu huli chakula kinachoeleweka.

= nimeshauriwa
 
We acha ila mimi siachi kuvuta ganja mpaka naingia kabulini na nilishawambia machizi wa kitaa changu nikifa wakati wakutupia udongo kwe kabuli langu wao watupie mbegu za bangi.Mi na bangi hadi kifo
GANJA ROLLER, Wewe umenena vyema, na mimi siachi ng'oo. Muulize Bujibuji, Baba V na Masopakyindi maana ya ID yangu.:bange:
 
hakuna kitu kama hicho, nyie ndio mtu anaumwa malaria eti mnampeleka kuombewa. jisaidie nami nitakusaidia
Huyu mungu wako ni kilema wote mpo sawa tu kama mungu wako hawezi kufanya usiyoweza wewe huyo utamwita Mungu?
 
Kuacha kitu chochote ni determination
Kuna ndugu yangu alivuta zaidi ya miaka 30 na kunywa zaidi ya miaka.25. Siku moja akaamua kuwa kuanzia leo sasa abamiaka km 18 tangu aache vyote. Wala hakutafuta mbadala wa sigara wala pombe. Uko safi tu. Hivyo ni uamuzi tu wala usitumie dawa.
 
Back
Top Bottom