Zamiluni Zamiluni
JF-Expert Member
- Feb 11, 2014
- 13,997
- 15,112
Exactly, Sasa Mkuu unajisikiaje kumpulizia mwenzio ?ule moshi anaoutoa ni mbaya kuliko yeye anayevuta sigara.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Exactly, Sasa Mkuu unajisikiaje kumpulizia mwenzio ?ule moshi anaoutoa ni mbaya kuliko yeye anayevuta sigara.
Umetumia njia gani au dawa gani tuambie na sie tujue kama ni kuwasaidia watu wengne iwe rahisinimekuwa mvutaji mzuri wa sigara kwa muda wa miaka 8,nilikuwa navuta 5 mpaka 6 kwa siku. nilianza kama utani baada ya kuathiriwa na moshi wa wavutaji nami nikasema ngoja nijaribu, baadaye nikafanya kweli na kuwa mvutaji mzuri kuliko hata walionifundisha. sasa nina wilki 3 sijavuta na wala sitaki kunusa hata moshi wake.
nimekwenda hospitali kuangalia afya nimekuta nina afya nzuri pia nimeshauliwa niwe nakunywa maji ya uvugu vugu zaidi ya lita nne kwa siku.
na wewe kama ni mvutaji nakushauri kuanzia sasa acha.
vinavyokatazwa ndivyo vinavyopendwa.
uvutaji wa sigara ni hatari kwa afya yako kama unavuta alafu huli chakula kinachoeleweka.
yani wiki tatu ndo unasema umeacha? atleast ungekaa miezi sita ndo umwambie mtu!
Umetumia njia gani au dawa gani tuambie na sie tujue kama ni kuwasaidia watu wengne iwe rahisi
Exactly, Sasa Mkuu unajisikiaje kumpulizia mwenzio ?
Daa mi nashindwa kuacha sijuibhata nifanyeje...
We acha ila mimi siachi kuvuta ganja mpaka naingia kabulini na nilishawambia machizi wa kitaa changu nikifa wakati wakutupia udongo kwe kabuli langu wao watupie mbegu za bangi.Mi na bangi hadi kifo
nimekuwa mvutaji mzuri wa sigara kwa muda wa miaka 8,nilikuwa navuta 5 mpaka 6 kwa siku. nilianza kama utani baada ya kuathiriwa na moshi wa wavutaji nami nikasema ngoja nijaribu, baadaye nikafanya kweli na kuwa mvutaji mzuri kuliko hata walionifundisha. sasa nina wilki 3 sijavuta na wala sitaki kunusa hata moshi wake.
nimekwenda hospitali kuangalia afya nimekuta nina afya nzuri pia nimeshauliwa niwe nakunywa maji ya uvugu vugu zaidi ya lita nne kwa siku.
na wewe kama ni mvutaji nakushauri kuanzia sasa acha.
vinavyokatazwa ndivyo vinavyopendwa.
uvutaji wa sigara ni hatari kwa afya yako kama unavuta alafu huli chakula kinachoeleweka.
GANJA ROLLER, Wewe umenena vyema, na mimi siachi ng'oo. Muulize Bujibuji, Baba V na Masopakyindi maana ya ID yangu.:bange:We acha ila mimi siachi kuvuta ganja mpaka naingia kabulini na nilishawambia machizi wa kitaa changu nikifa wakati wakutupia udongo kwe kabuli langu wao watupie mbegu za bangi.Mi na bangi hadi kifo
Daa mi nashindwa kuacha sijuibhata nifanyeje...
Yesu ni jibu Omba sana katika jina la Yesu nae atakukomboa
Huyu mungu wako ni kilema wote mpo sawa tu kama mungu wako hawezi kufanya usiyoweza wewe huyo utamwita Mungu?hakuna kitu kama hicho, nyie ndio mtu anaumwa malaria eti mnampeleka kuombewa. jisaidie nami nitakusaidia
HahahaaWe acha ila mimi siachi kuvuta ganja mpaka naingia kabulini na nilishawambia machizi wa kitaa changu nikifa wakati wakutupia udongo kwe kabuli langu wao watupie mbegu za bangi.Mi na bangi hadi kifo