Jinsi ya kuacha kuvuta sigara (A Guide to Quitting Smoking)

Jinsi ya kuacha kuvuta sigara (A Guide to Quitting Smoking)

Huyu mungu wako ni kilema wote mpo sawa tu kama mungu wako hawezi kufanya usiyoweza wewe huyo utamwita Mungu?


Bora umwambie huyo anadhan everything is done under Natural forces. ......I was bounded by a certain habit for 7 years nilijitahid kuacha Lakin wapi!!! But nilipoomba aaah Everything was done
 
Bora umwambie huyo anadhan everything is done under Natural forces. ......I was bounded by a certain habit for 7 years nilijitahid kuacha Lakin wapi!!! But nilipoomba aaah Everything was done

sawa nimewaelewa.
 
Ulikua unaanza kuvuta sio mvutaji sigara 5 hadi 6 kwa siku ni uongo kwa mvutaji wa sigara mm ya 20 hadi nakujibu time hii
 
Ila bora umeacha kwakua mwenyewe hapa ndio napunguza sigara mbaya na kiu yake ni ya ki s.....n....
 
Wavuta sigara na wanywa pombe mkiacha nchi itayumba maana inawategemea nyinyi walevi kuendesha nchi.
 
Mimi nilivuta sigara kwa muda wa miaka zaidi ya 40. Nimeacha baada ya kutengwa na marafiki zangu tukiwa pamoja kwenye shughuli yoyote. Familia yangu pia walikuwa wananilazimisha kutoka nikavutie nje. Nilifanya maombi na kuazimia kuacha kabisa, na hadi leo ninakaribia kutimiza miaka miwili tangu niache. Asante MUNGU! Nakuomba uwasaidie na wengine wenye nia na dhamiri ya kuacha uvutaji wa sigara.
 
nimekuwa mvutaji mzuri wa sigara kwa muda wa miaka 8,nilikuwa navuta 5 mpaka 6 kwa siku. nilianza kama utani baada ya kuathiriwa na moshi wa wavutaji nami nikasema ngoja nijaribu, baadaye nikafanya kweli na kuwa mvutaji mzuri kuliko hata walionifundisha. sasa nina wilki 3 sijavuta na wala sitaki kunusa hata moshi wake.
nimekwenda hospitali kuangalia afya nimekuta nina afya nzuri pia nimeshauliwa niwe nakunywa maji ya uvugu vugu zaidi ya lita nne kwa siku.
na wewe kama ni mvutaji nakushauri kuanzia sasa acha.

vinavyokatazwa ndivyo vinavyopendwa.

uvutaji wa sigara ni hatari kwa afya yako kama unavuta alafu huli chakula kinachoeleweka.

Ugolo je!
 
We acha ila mimi siachi kuvuta ganja mpaka naingia kabulini na nilishawambia machizi wa kitaa changu nikifa wakati wakutupia udongo kwe kabuli langu wao watupie mbegu za bangi.Mi na bangi hadi kifo

waambie watupie pia na viberiti,karatasi na rizla GANJA ROLLER.
 
Last edited by a moderator:
Ww hutakiwi kujiita at ulikuwa mvutaji sana wa sigara ww bado mwanafunzi kwanza unajua idadi kwa cku,Na hao ni madaktari wa kitanzania tuuu hawana uwezo wa kutafiti,et maji yanatibu huu ni uvivu wa kufikiri,Imo sana mtaani utasikia Nimeshauriwa na dk ninywe maji mengi et sita pata homa ovyo uwongo mtupu, tatizo la madaktar wetu hawatki kuumza kichwa kufikiria zaidi,Wasomi wengi wa kitanzania ni wavivu nashangaa hata hizo lenki za elimu sijui vigezo gani vinatumika,pumbavuuuuuuu
 
Back
Top Bottom