Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nimeekuja kujifunza,hakuna kitu kina nguvu kwenye biashara kama matangazo
Muhimu sana hizi mtandaoni.Audience & Authenticity
Upo sahihi mkuu.Nimeekuja kujifunza,hakuna kitu kina nguvu kwenye biashara kama matangazo
Asante mkuu. Hii muhimu sana.Wastani wa mtu kuwa interested na bidhaa anatakiwa aone tangazo si chini ya mara saba. Kwa wale wanaopost sku mbili na kuacha ni tatizo hilo
Hii ni Tanzania pekee ila kwingine mtu akitangaza anauza papo kwa hapoBaadhi ya wafanya biashara huwa wanadhani ukianza kutumia mtandao Kutangaza Biashara yako basi utapata wateja kwa haraka.
Kitu ambacho wengi hawakielewi ni kwamba, jinsi ambavyo maisha ya kawaida mtaani yalivyo, hakuna kinachopatikana kiurahisi.
Kutangaza Biashara au Kipaji Mtandaoni Unahitaji:-
1. Mpango mkakati ulio imara na wa kueleweka.
2. Utayari wa kuwa mwanafunzi. Yaani ukubali kujifunza na kufundishwa.
3. Uvumilivu. Ondoa mategemeo ya kupata wateja kwa haraka.
4. Kujituma na kujitoa kwa hali na mali.
6. Kuwa na mbinu bora za kivita. Muhimu tu usifanye vitu vya ajabu mtandaoni ili kupata attention.
Jifunze techniques zinazoendana na malengo yako.
Ongezea zingine kwenye comment.
View attachment 2545867
Asante mkuu.Hii ni Tanzania pekee ila kwingine mtu akitangaza anauza papo kwa hapo
Uwezi kunishawishi hizo vitu unazozitaja wakati mtu anatumia muda na gharama kutangaza biashara kwanini asiuze ?
Kwani biashara gani tuanzie hapo labda kama mtu anatangaza uchawi majini Uganga ulozi sawa, lakini kama mtu anauza bidhaa zenye mahitaji kwenye jamii kwanini angoje miaka hizo gharama anazozitumia atazilipa nani kama asipouza?
Kodi atalipaje kutoka kwenye fungu lipi watanzania tubadilike tusialishe ujinga
Au bongo mnatoa ruzuku kwa wafanya biashara?
Ukifanya hivyo usipouza sio Jamba la kawaida Kuna tatizo tena kubwa sana la kujadili kama jamii
Sikubaliani na wewe kabisa
Mkuu umenisaidia sana kwenye hili jambo waga linanipa shida sana.Hii ni Tanzania pekee ila kwingine mtu akitangaza anauza papo kwa hapo
Uwezi kunishawishi hizo vitu unazozitaja wakati mtu anatumia muda na gharama kutangaza biashara kwanini asiuze ?
Kwani biashara gani tuanzie hapo labda kama mtu anatangaza uchawi majini Uganga ulozi sawa, lakini kama mtu anauza bidhaa zenye mahitaji kwenye jamii kwanini angoje miaka hizo gharama anazozitumia atazilipa nani kama asipouza?
Kodi atalipaje kutoka kwenye fungu lipi watanzania tubadilike tusialishe ujinga
Au bongo mnatoa ruzuku kwa wafanya biashara?
Ukifanya hivyo usipouza sio Jamba la kawaida Kuna tatizo tena kubwa sana la kujadili kama jamii
Sikubaliani na wewe kabisa
Me natangaza tangazo kwa dollar 50 per day,na kila siku linatembea.Wastani wa mtu kuwa interested na bidhaa anatakiwa aone tangazo si chini ya mara saba. Kwa wale wanaopost sku mbili na kuacha ni tatizo hilo
Bajeti yako iko vizuri, lazima ikupe matokeo mazuri.Me natangaza tangazo kwa dollar 50 per day,na kila siku linatembea.
Aisee naona matokea makubwa sanaaaa,yani ningewahi kujua,ingekuwa balaa
Kiukweli ni kutokujua tu kabisa,natumia gharama kubwa kwenye matangazo.ila hela inarudi vizuri sana na faida napata sana.Bajeti yako iko vizuri, lazima ikupe matokeo mazuri.
Ni Tofauti na mtu anayetumia dollar 1 kwa siku.
Ukiweka mpunga mzuri matokeo yanakuwa makubwa zaidi.
Hili ni somo watu hawaelewagi.
Sent from my JKM-LX1 using JamiiForums mobile app
Kiukweli ni kutokujua tu kabisa,natumia gharama kubwa kwenye matangazo.ila hela inarudi vizuri sana na faida napata sana.
Matangazo ni deal sana sana.
Dola 50 una audience kubwa kiasigani hata Google na FB Twiter wanatoza dolla 5 kwa sikuMe natangaza tangazo kwa dollar 50 per day,na kila siku linatembea.
Aisee naona matokea makubwa sanaaaa,yani ningewahi kujua,ingekuwa balaa
Matangazo ni uwekezaji. Ukishalijua hilo huoni tabu kuweka pesa ya maana.Kiukweli ni kutokujua tu kabisa,natumia gharama kubwa kwenye matangazo.ila hela inarudi vizuri sana na faida napata sana.
Matangazo ni deal sana sana.
Me natangaza tangazo kwa dollar 50 per day,na kila siku linatembea.
Aisee naona matokea makubwa sanaaaa,yani ningewahi kujua,ingekuwa balaa
Natumia sana Facebook na adstera mkuuHongera mkuu. Samahan nataka kujua
Media/channels unazotumia kutangaza na profile ya wateja wako kama hautojali
Ahsante
N ukwel usiopingika ukiwekeza vizur utavuna vizuriMe natangaza tangazo kwa dollar 50 per day,na kila siku linatembea.
Aisee naona matokea makubwa sanaaaa,yani ningewahi kujua,ingekuwa balaa