Jinsi ya kuandika Tangazo lako la biashara mtandaoni

Jinsi ya kuandika Tangazo lako la biashara mtandaoni

Elewa hili "Biashara ni matangazo."

Matangazo ndiyo moyo wa biashara. Kama unafanya biashara mtandaoni na unahitaji wateja wengi ni muhimu kufanya matangazo ya kulipia (Sponsored ads).

Kwanini? Kwa sababu biashara yako inatakiwa kuonwa na kusikiwa na watu wengi zaidi na zaidi.

Faida kuu ya kufanya sponsored ads

Hufikisha tangazo lako kwa watu wengi

Hufanya watu wapya kutembelea account yako kuona unachouza.

Husaidia kupata wateja wapya na kufanya mauzo

Husaidia kupata followers wapya ambao ni wateja watarajiwa

Sponsored ads ndiyo siri wanatumia wafanya biashara wengi kupata wateja hapa mtandaoni.

Je! Umeanza biashara mtandaoni na haujui uanzie wapi kutangaza biashara yako?

Tunaweza kukusaidia hatua kwa hatua hadi ukafanikiwa kunasa wateja wengi.
Call/Whatsap 0752026992
View attachment 2688504

Mnaweza kuwasaidia hatua kwa hatua kuweka tangazo, sio kunasa wateja, maana kama kunasa wateja ni rahisi hivyo mngefanya nyie huko na kusingekuwa na sababu ya kuleta tangazo hapa Jamii forums.

Kwa wote mnaoweka haya matangazo, zingatieni sana swala zima la location, kuna watu wanaweza add dunia yote, kwa issue kama ya tourism, mwisho wa siku, wamatumbi wana click tangazo, hela zinakata na sio wasafiri.

Kumbuka sana kuweka tangazo tu kwenye location ambayo ina wateja wako, mfano: Wamarekani wa Colorado wanapenda sana kupanda Mlima, kama unafanya biashara hiyo, fungia tangazo lako maeneo ya Colorado kwa efficiency.

Nafikiri mtoa tangazo elezea how good you are kwenye hilo eneo zaidi ya kusema juu juu, kunasa mteja shughuli sana, ni kusikika na content, hapa sisi tumekusikia, yes, ni marketing, ila content uliyoandika ni ya kawaida sana
 
Mnaweza kuwasaidia hatua kwa hatua kuweka tangazo, sio kunasa wateja, maana kama kunasa wateja ni rahisi hivyo mngefanya nyie huko na kusingekuwa na sababu ya kuleta tangazo hapa Jamii forums
Kunasa wateja kunaanzia na kufanya tangazo.

Hauwezi kunasa wateja bila kufanya matangazo mkuu.

Karibu sana boss.
 
Kunasa wateja kunaanzia na kufanya tangazo.

Hauwezi kunasa wateja bila kufanya matangazo mkuu.

Karibu sana boss.

Ulipaswa kueleza how good you are on that field, jinsi ambavyo unafikiri ni rahisi kunasa wateja jamii forum kwa andiko fupi hivyo, is the same mindset ambayo utakuwa nayo wakati unamwongoza mteja.

Ni sawa na mtu anafanya seo, anaongea bla bla nyingi sana, Mimi nimesoma Digital Marketing San Diego University (short course), unamwambia nipe huduma 10 mnazotoa, anakupa zote.

Unaenda google, una search, hizo huduma zote kumi, website yake ipo page ya 7, 5 na kuendelea, halafu anasema anafanya seo, on site and off site, What? Kwa nini hufanyi kwa website yako?

Hemu leta statistics zako za matumizi ya hizo paid Ad, and tuambia umepata wateja wangapi, kwenye Market niche ipi kwa mda gani? Maana google ana detailed information mpaka na graphs at a click.
 
Asante sana mkuu. Nimekuelewa vizuri.
 
Kwa anayeitaji short course ya ChatGpt , Canva pamoja na Google Bard ( alternative ya chatGpt inayotambua lugha ya kiswahili) karibu chuoni kwetu Glory Advanced Institute of Science and Technology . (GAIST). kwa maelekezo zaidi njoo pm
 
Kuweka post nyingi za biashara yako mtandaoni peke yake haitoshi kuvutia wateja.

Badala yake, unahitaji kutumia mbinu sahihi za masoko mtandaoni ili kufikia malengo yako.

Kuweka tu post nyingi bila mkakati au ubora wa kutosha haitasaidia kuvutia wateja wako walengwa.

Ni muhimu kuzingatia njia sahihi za kufikia wateja, kuwapa thamani na kujenga uhusiano nao.

Je, ungependa kupata muongozo kamili kuhusu hili na uone mabadilko katika biashara yako?

Tuwasiliane leo kupata elimu hii ya biashara mtandaoni.

Simu 0752026992.
Jinsi ya kutangaza biashara mtandaoni.jpg
 
Aloooo kumbe.
Nilikuwa sijui hebu nifahamisheni
 
Back
Top Bottom