Ni katika harakati za kuongeza ujuzi na maarifa kwa lengo la kujitofautisha katika kuanzisha na kukuza biashara mtandaoni.
Ni wapi ninaweza kujifunza hatua kwa hatua jinsi ya kutumia majukwaa ya mtandaoni kuanzisha na kutangaza Biashara?
Kujifunza kuhusu digital marketing kunaweza kufanywa kupitia kozi za mtandaoni, vitabu, na vyanzo vingine vya elimu.
Ni muhimu sana kujifunza kwa kina kuhusu mbinu tofauti za digital marketing ili uweze kutumia zana hizi kufikia malengo yako ya biashara kwa ufanisi zaidi.
Kwa wewe ambaye bado haujapata uelewa wa kutosha kuhusu wapi utajifunza zaidi kuhusu Digital marketing na mbinu zake.
Tunafanya madarasa kwa mtu mmoja mmoja, vikundi au kampuni kuhusu vipengele vyote vya digital marketing Tanzania.
Madarasa haya huwa yanafanyika hana kwa hana kwa wakazi wa Dar Es Salaam na kwa mikoa ambayo tunaweza kufika kwa makubaliano.
Pia tunafanya madarasa haya kwa njia ya Zoom hii ni popote ulipo Tanzania na nje ya Tanzania pia.
Jiunge na kozi yetu ya digital marketing na ujifunze jinsi ya kuvutia wateja wapya kupata ujuzi na kukuza biashara yako.
Tunaweza kuwasiliana WhatsApp 0752026992.
Gharama zinatofautiana kutegemeana na uhitaji wako.