Jinsi ya kuepuka kupigwa na mawinga Kariakoo

Jinsi ya kuepuka kupigwa na mawinga Kariakoo

kwa niaba ya mawinga wenzangu nasemaje nimesoma kidogo tu uzi wako ila Mungu hatokei mkoani kwako, riziki mafungu saba na sikuizi kama hujui hao wenye maduka ndo mawinga namba moja 😂maana mitaji imekata

alafu uzuri wa kwenye electronics store kwenye wanawajua mawinga wote 😂so mwenye duka na winga wanapewa bei moja 😂

Mimi nikifika Kariakoo hainipi shida kutambua mwenye Duka.

Najua Bidhaa inauzwa laki Mbili mwenye Duka kaongeza faîda y kufuru 70k. Yàani 270k Mimi nakutaji 220k. Alafu kawaida naenda mida ya kufunga jioni Kabisa😂😂
 
Back
Top Bottom