Makiwendo
JF-Expert Member
- Aug 12, 2015
- 9,980
- 34,404
Anafahamu vyema...Huyo mwenye duka anaeruhusu watu kumharibia biashara anakuwa anajua au hajui??
Sababu mwenye Duka na Mawinga wanategemeana ili mzigo uwe unatoka..
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Anafahamu vyema...Huyo mwenye duka anaeruhusu watu kumharibia biashara anakuwa anajua au hajui??
wote mzeeKuna winga wa kike au wote ni wa kiume??
shida anaona wanamsaidia kupata wateja
Uwinga sio ajira.
kikubwa wanapata chochote kituUwinga sio ajira.
Uwinga sio ajira.
wizi unaitwa riziki.kwa niaba ya mawinga wenzangu nasemaje nimesoma kidogo tu uzi wako ila Mungu hatokei mkoani kwako, riziki mafungu saba na sikuizi kama hujui hao wenye maduka ndo mawinga namba moja 😂maana mitaji imekata
alafu uzuri wa kwenye electronics store kwenye wanawajua mawinga wote 😂so mwenye duka na winga wanapewa bei moja 😂
Mnakua hamjui bei za bidhaa?
wanapata kwa njia ya wizikikubwa wanapata chochote kitu
Tena Winga wa kike amechangamka kuliko wa kiume..Kuna winga wa kike au wote ni wa kiume??
Wizi Kwa namna Ipi?wanapata kwa njia ya wizi
Naunga mkono hoja mkuuNachukua sana mawinga, nikikuta duka lina mawinga naondoka
📌📌📌📌Nakazia...Kûna Watu Hapo Kariakoo walianza na uwinga Sasa hivi wanamaduka
📌📌📌📌Nakazia...
Kuna huyo mmoja namjua alianza kama Winga...Ila sasa hivi ana Maduka matatu Kariakoo....
nimeshafika dukani bei ya dukani hapo ni 80k nimeona bidhaa naitaka mfanyakazi wa mule anasema bei ni 120K mkivutana kidogo unalipa kwa 100k kwakua yeye ni winga huu ni wizi. kwamba hapa yeye kafanya kazi gani?Wizi Kwa namna Ipi?
Waô wametumia ukosefu WA tàarifa kwa mteja kujinufaisha