Jinsi ya kuepuka kupigwa na mawinga Kariakoo

Jinsi ya kuepuka kupigwa na mawinga Kariakoo

Mimi nikifika Kariakoo hainipi shida kutambua mwenye Duka.

Najua Bidhaa inauzwa laki Mbili mwenye Duka kaongeza faîda y kufuru 70k. Yàani 270k Mimi nakutaji 220k. Alafu kawaida naenda mida ya kufunga jioni Kabisa😂😂
au sio 😂😂😂
 
Kwanini hawana kosa? Mm nakuja kununua jeki ya gari yangu winga anaongea na mwenye duka wananiuzia laki ilihali ni elfu arubaini si ni wote wezi tu?

Kama serikali yenyewe unanunua gari labda Milioni nne ukifika bandarini Kodi Milioni nne tenà hivyo jumla 8m unategemea nini?

Wizi unatokana na usiri WA bei ya Bidhaa
Kama vile nauli serikali inavyotoa bei elekezi vivyohivyo n Bidhaa zingine inatakiwa Kutoa.

Hao Mawinga Kwao NI fursa na lengo la mfanyabiashara NI ku-make profit kadiri iwezekanavyo
 
uzuri me wateja wangu nawapa bei sawa na ya mwenye duka au saingine ndogo kuliko mwenye duka namsaidia kufanya uchaguzi😂 na kumshauri

Hatuna shida na ninyi 😂😂
Tunaondoka tukiwa tumeridhika Kabisa lakini shida inaanzia pale unatoka tuu unakutana na Bidhaa ileile inauzwa kwa bei nafuu pungufu ya Laki Moja yàani umepigwa zaidi ya Laki Moja Hapo ñdipo fumba la mate lazima umeze kupunguza uchungu
 
Hii vita na mawinga sio poa.
697a86d4-33c1-4a39-bd05-fc5149e91ec9.jpeg

humu tu😂
 
Nilienda kununua kitu Cha Laki 7+ huku nimevaa ndala

Hizi manunuzi unaenda Kama unasifiri, hamtaacha kupigwa daima
Ukiingia umevaa ndala hawakuzingatii kabisa wanakupandisha na kukushusha km huyu nae katokea wapi, hizo ndio mbinu zangu japo haifanyi kazi kiviile, mawinga ni kero kubwa mno imeanza taratibu tu hivi ila itafikia wakati ama wateja au wenye maduka watapoteza pakubwa na watapunguza kuendekeza huo udalali
 
Hatuna shida na ninyi 😂😂
Tunaondoka tukiwa tumeridhika Kabisa lakini shida inaanzia pale unatoka tuu unakutana na Bidhaa ileile inauzwa kwa bei nafuu pungufu ya Laki Moja yàani umepigwa zaidi ya Laki Moja Hapo ñdipo fumba la mate lazima umeze kupunguza uchungu
😂😂😂😂hiyo haikwepeki kikubwa we uwe na bajeti yako hata simu mnaweza kuwa na aina moja mmenunua sehemu moja na bei ikawa tofauti
 
Back
Top Bottom