Jinsi ya kuepuka kupigwa na mawinga Kariakoo

Jinsi ya kuepuka kupigwa na mawinga Kariakoo

wizi upi? mbona soda inayouzwa kwa mangi 600 ukienda samaki samaki unauziwa 5000 na kwengine mpaka 7000
Ukienda samaki samaki kama soda wanauza 5000 kwa sababu ya hadhi ya eneo wote tunauziwa 5000, ila soda wangekua wanauza mawinga mimi nauziwa 2000, kuna mwengine 3000, mwengine 1000 na mwengine 5000. Huu sasa ndo wizi wenyewe tunaofanyiwa hapo mjini kariakoo
 
kila mtu anajua bidhaa anaipambania vipi huwezi lazimisha fixed peice ndo maana kuna ku bargain muuzaj akiona inamlipa anakupa hujashikwa mkono hujalazimishwa 😂ukiridhia bei nakuuzia umekataa sio rizki nenda kwingine ila msiforce tuuze bei mzitakazo

ndo maana ni rahisi mwenye duka kukujibu hiko sina 😂ila sina huwezi isikia kutika kwa winga lazima akwambia kaa hapo nikakufatie nakuletea alafu anaenda chocho ambazo wewe huwezi fika wala huyo mwenye duka awezi acha duka lake aende 😂😂😂

fungua ofisi kataa winga uone 😂
 
Back
Top Bottom