Jinsi ya kuepuka kupigwa na mawinga Kariakoo

Lakini kwenye kazi ya kubishana bei mbona wamama wanaweza sana, unaweza kuenda na mmama wakianza ku-bargain hadi we utamhurumia mwuzaji,sijui wamama wanajulia wapi bei halisi za vitu au kwa kutazama tu kwa macho wanajua bei?
 
Wamama Wazuri wakikutana na Muha pàmoja na vyombo vya nyumbani na nguo.
Lakini kwèñye hvi Vitu vya electronic na appliances wanapigika haswa
 
Kero ipi na wanatutafuta wenyewe?
Mawinga wananunua bidhaa kwa jumla wanaihold kwa kuhifadhi stoo na kuuza, sio lazima kusumbuana na wateja inategemea ni winga wa nini. Pale aggrey kwenye simu na electronics ndio kuna hizo kero.
😂😂😂aende na makumbusho kwenye maduka ya simu 😂
 
Ni
Lakini kwenye kazi ya kubishana bei mbona wamama wanaweza sana, unaweza kuenda na mmama wakianza ku-bargain hadi we utamhurumia mwuzaji,sijui wamama wanajulia wapi bei halisi za vitu au kwa kutazama tu kwa macho wanajua bei?
Kweli mkuu tuna kipaji cha ku bargain, hata mie ninacho na naona kinazidi kuimarika kadri siku zinavyoenda
 
Back
Top Bottom