Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 182,097
- 1,099,383
ASANTE kwa ufafanuzi.ukipiga kama mtu anakufatilia itaonyesha number ya huyo mtu "Fowarded to like 07894567234,lol nimegoogle hio number sijapata majibu ya kuridhisha,lol sijui ni li robot?lol
Acha upimbi, uingilie mawasiliano ya mtu ili iweje?mm nijulishe namna ya kufoward
Sema tu asifikie hatua ya kuchukua uhai wako.asante mkuu,yaani nimeshangaa kama ni ex wangu basi kazi ipo,yapo mengi aliyonifanyia na hili pia?? I guess i will always live in his shadow....
Woi wafoosamahani wakuu,nimecheck sikutegemea kuna mtu ananiwinda??was shocked,angry and confused nilivyoiona hio number...sina ma baby dad mimi na ex wangu tuliachana kitambo…kiruuu 🙁🙁
Unapocy habari au taarifa sehemu credit the source, huo ndio ustaarabu.piga namba *#61# angalia kama imeandikwa neno FORWARDED uje kuna mtu anasikiliza mazungumzo/sms zako. Na kama ikionyesha neno NOT FORWARDED basi uko salama.
Kuondoa au kumzuia mtu asiendelee kutumia namba yako piga ##21# ili kuondoa *monitoring device* kwenye namba yako.
Watumie na wengine kuwajulisha matukio haya.View attachment 786304
Anaenda nyumbani kulala
ASANTE kwa ufafanuzi.
No zenyew mbona zimezidi kumiukipiga kama mtu anakufatilia itaonyesha number ya huyo mtu "Fowarded to like 07894567234,lol nimegoogle hio number sijapata majibu ya kuridhisha,lol sijui ni li robot?lol
jf ni zaidi ya maarifa
No zenyew mbona zimezidi kumi
hapanaaa niipeleke wap mimihuo ni mfano nimeonyesha,number iliyokua nimeona knw simu yangu nimeiweka pale juu,nimeipiga inakatwa,kama unaitaka njoo PM mkuu
hapanaaa niipeleke wap mimi
Single mama kashazinguliwa huko,labda aliambiwa mwisho wa week hii atatumiwa hela ya matunzo ya mtoto sasa anaona hela yenyewe hatumiwi muda unaenda hata dalili haoni hapo alipo stress zimemjaa hata kama mtu kakosea number lazima matusi ayaoge.Kuna MTU kaibiwa??
Single mama kashazinguliwa huko,labda aliambiwa mwisho wa week hii atatumiwa hela ya matunzo ya mtoto sasa anaona hela yenyewe hatumiwi muda unaenda hata dalili haoni hapo alipo stress zimemjaa hata kama mtu kakosea number lazima matusi ayaoge.[/QUOTE
.
............Sawa mie naenda kulala ila matusi mapya ni hayo uliyoyaleta wewe.
mmnh hapa JF watu wengine wanakuja humu kutoa mafrustration yao,naona na wewe ni mmojawapo,ushaongea umepunguza stress,haya nenda kalale ,single maza,menopause ndio matusi yenu humu...tuyazoea leta mapya..