Jinsi ya kufahamu kama simu yako au line yako inafatiliwa na mtu mwingine

Bro labda ujafanya utafiti vizuri kaangalie call forwarding katika voda halafu utasema mtu anakufatilia.call forwarding ya voda kama sikosei ni 0754250250 hii unapoiweka katika call forwarding when not reachable namba yoyote itakayokupigia usipikua hewani ukiwasha simu unaletewa ujumbe kua you missed the following calls
Yana kwa call forward ingekua ni rahisi namna hio mtu kupata meseji zako au kupata audio call zako ambazo ni recorded ushetani katika mahusiano ungekua umeisha ama watu wengi wangekua wanapata madhara kwa ambacho wangekua wanakiona kwenye simu za wapenzi/ndugu/jamaa zao

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mbona maelezo yangu yanaeleweka? Rudia kusoma niliachoandika.
 
Hiyo haijawahi kufanya kazi ukiwa Tanzania labda kwa nchi zingine au kwa kutumia program maalamu na sio kwa code kama hizo MKUU kama una uhakika nikupe namba yangu uifanyie hiyo kitu
 
Pambafu kabisa, bosi wangu wa kike kumbe ndo ananifuatilia baada ya kumpiga tarehe kumwoa. Sijui nifanyeje maana sina mpango wowote na yeye. Nampiga kalenda ili kulinda ugali wangu na kazi
 
Pambafu kabisa, bosi wangu wa kike kumbe ndo ananifuatilia baada ya kumpiga tarehe kumwoa. Sijui nifanyeje maana sina mpango wowote na yeye. Nampiga kalenda ili kulinda ugali wangu na kazi
Umejuaje mkuu?
 
shukran mkuu kwa shule, kama ukipiga simu ikiwa inaonyesha "CALL FORWARDING ON" inamaanisha nini?
 
Asante mkuu kwa uungwana [emoji122][emoji122][emoji122].
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…